Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wana great thinker nipo mgeni naomba kukaribishwa asanteni
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Eyy
Am new here![emoji1]
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu wana JamiiForum, Mimi ni mgeni katika hii media, ni matumaini yangu nitapata ushirikiano mzuri kwenye matumizi ya hii media kwa kunielekeza yote nisiyoyajua Shukrani sana
7 Reactions
154 Replies
10K Views
Habarini wapendwa Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
7 Replies
746 Views
Hello wana jamiiforums nimekua niki pita pita humu kwa muda mrefu nimevutiwa na watu wa umu nimeona si vibaya nami nikajiunga...... Naomba nipeni ushirikiano wana jamiiforums
1 Reactions
11 Replies
901 Views
hodi jamani
0 Reactions
8 Replies
946 Views
Waheshimiwa wakuu sana wana JF naombeni mnikaribishe mimi Babu yenu ni mgeni humu ndani. Nipokeeni furushi zangu hizi za tunguli, nionesheni choo na bafu na sehemu ya kulala. Nimeona vijana...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Hodi humu ndani, mi mgeni ila nimekuwa nikifuatilia mijadala ya humu ndani nikavutiwa kuwa member. Naomba ushirikiano
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naitwa Bartaizo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
741 Views
Mm n mgen wa Jf nahtaji msaada wa mawazo kuhusu mahusiano... Post sent using JamiiForums mobile app
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Me ni new member jamani wakuu.....naombeni mnikaribishe
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mgeni hakosi kamba mguuni,ukaribisho ni wa muhimu wapendwa. Mie ni ME,asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
892 Views
Habari I am a new member "here".....Nipeni muongozo(masharti)ya hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Hodi Humu.. Hatimaye Nimejiunga Jamii Forum.. Naomba Kukaribishwa Na Maelekezo How It Work Maana Naona Mapicha Picha.. Ahsanteni
0 Reactions
19 Replies
867 Views
Hodi hodi JF nafurahi kujiunga ktk mtandao huu naahidi kuwa mtiifu na mchangia mada mbalimbali
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mimi ni mgeni jamani naomba mnipokee kabisa nawapenda sana
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari members... Mimi ni mgeni humu Jf na nineijua punde tu Jf kupitia Facebook. Naombeni mnielekeze ,mnipokee na kuwa namm humu jf. Nitafurahi mkinikaribisha vizur pia kama nitapata marafiki...
2 Reactions
242 Replies
13K Views
Habarini wote wadau wa jukwaa hili, Ni matumaini yangu mtanipa ushirikiano vizuri katika hii media na kuvuna vilivyomo ndani kwa manufaa yetu sote. Ahsanteni sana.
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari za wakati huu naitwa kingkimbe nashukuru kwa kuwa hapa jf nilikuwa nikifatilia sana hii forum asanten sana. Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
721 Views
Nikaribisheni wakuu MI Sina noma Wa kishua
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom