Jamani natamani ninunue iPhone, ila nakatishwa tamaa na watu wanaoniambia App zake na android haziko compatible.
Mara nitashindwa kushare docs na mtu wa android mara kuna applications ambazo...
Habari wakuu,
Kuna wanawake baadhi wanatabia ya kuburuza viatu.
Utakuta anatembea anaburuza viatu yaani watu wanamshangaa..
Yeye anaona ni kawaida tu anaburuza mayebo yake...
Mdada mzuri...
Pole na hongera ya nguvu kwa majukumu ya leo ndugu mpamabanaji na muwajibikaji.
Langu ni moja tu, nalo ni hili. Hivi mtindo wa kujipima mathalani, unanunua suruali au sketi halafu eti unapima...
Habari zetu,
Mimi nina makovu miguuni na mikononi yaliyosababishwa na vipele vya allergy, nitumie nini yaweze kuisha sitaki kutumia mafuta makali.
Mimi ni mweupe wa kawaida.
Sent from my vivo...
Mwanaume ni sifa, mwanaume ni kiongozi ebu ifike hatua wanaume tujitambue na tutambue nafasi zetu katika jamii.
Hii tabia ya wanaume kuvaa vinjunga inaniboa sana, yaani sasa hivi kuvaa vinjunga...
Wakuu,
Hili jambo limekuwa likinishangaza sana, mwanamke anaetengeza nywele zake natura anaambiwa mbona hujasuka, ingekuwa rasta ndio ingekuwa sawa na ungependeza, ingekuwa wigi ndio ungekuwa...
Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.
Mwanaume kuwa msafi...
Habari,
kwanza niipongeze serikali kwa kufungia tovuti zote za video za porn( maarufu kama X videos) uamuzi huo umefikiwa leo tarehe 19/7/2021, ambapo tovuti zote za ngono zimekuwa burned na...
Hivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu
Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha...
1. Ulikuwa na umri gani na ni nini kilisababisha kujua kuwa wewe ni mrembo?
2. Baada ya kujua wewe ni mrembo ulichukua uamuzi gani?
3. Je, unadhani urembo wako umekupa faida gani ya msingi...
Habari wakuu
Siku chache zilizopita nilitembelewa na mgeni nyumbani. Alikuwa amejipulizia manukato/perfume ambayo harufu yake imebaki kwa wiki nzima sasa kwenye sofa aliyokuwa amekaa.
Kwa...
Hawa jamaa wapo huku social media nyingine x,Facebook, instagram wanakwenda kwa Jina la dinya smart wanauza nguo kali vibaya mno (na we unaweza kupitia huko social media accounts zao ujionee )...
Hivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani, kwapani na sehemu za siri.
Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au...
Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe...
Huu ni mshono wa wanaume au wakike na sababu gani uliitwa hivyo? Wabobezi wa historia mnaweza kutusaidia.
Kaunda suti najua ni sababu ya Rais wa Zambia ambao itakuwa sana na chunlai.
Wanaume kuvaa visuruali vya kuwabana, inamaanisha nini? tunajua wadada huvaa vinguo vya kuwabana ili kuwaonesha wanaume maumbile yao; je, mwanaume naye huwa ana lengo lipi?
Nasema hivi...
Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.