Je, ni kweli Mazoezi ya ku squat kwa mwanaume humfanya kuwa na Makalio makubwa

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
394
713
Hivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu

Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha kuwa na makalio na kuwa na umbo na 8.

Sasa ndugu zangu Kati ya kitu ambacho wanaume tunaogopa nikuwa na makario makubwa au umbo na 8.

Je, kuna ukweli wowote kuhusu madhara hayo ya squat kwa mwanaume.

Msaada tafadhali!

Screenshot_20220321-091223~2.jpg
 
Hivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu
Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha kuwa na makalio na kuwa na umbo na 8
Sasa ndugu zangu Kati ya kitu ambacho wanaume tunaogopa nikuwa na makario makubwa au umbo na 8
Je Kuna ukweli wowote kuhusu madhara hayo ya squat kwa mwanaume

Msaada tafadhari!!View attachment 2158889
Kwani saa hivi uko kwenye muonekano gani
 
Back
Top Bottom