Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama...
6 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni mara kadhaa nakutana na nguo ikiwa na kidude chenye lebo au maandishi ya kumtaka mtumia nguo kukikata au kukiondoa kabla hajafua au kuivaa nguo hiyo. Nauliza je kama pana mtu ameshakutana na...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Binafsi nakerwa sana na Wanawake wenye tabia ya kuvaa wigs kichwani au kushonea nywele za bandia. Hii ni tabia ambayo kwakweli mimi huwa siipendi kabisa na huwa namwona Mwanamke wa namna hiyo kuwa...
15 Reactions
67 Replies
18K Views
Akikaa kwenye siti anatumia siti moja na nusu, abiria mwenza anabaki na nusu siti tu. Kama amesimama kwenye daladala anakubana na tumbo lake wewe abiria uliyekaa. Hawa watu kwakweli wanatia hasira.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Tz hii sidhani kama kuna mkoa unaongoza kwa watu kujichubua kama Mbeya. Ukikuta mwanamke aliyejichubua kikweli anatisha. Sura inakuwa kama kokaragosi au kashetani hivi. Lakini si wakulaumu...
19 Reactions
80 Replies
7K Views
Watu hawaendi kutembea kwa sababu ya Corona , ni kula tu kisha kutulia ndani, sasa unapodai nguo za Sikukuu ili iweje ? unataka uwende ukatemee wapi ? Wake zetu muda mwingine wanawaza wnayojua wao.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kinyaa ni hisia mbaya apatayo mtu anapoona uchafu, mtu asie na kinyaa ni mtu wa hovyo sana. Kuona kinyaa yaweza enda mbali zaidi, Mtu anaeweza kufanya mchezo wowote katika tupu ya nyuma kwa...
1 Reactions
2 Replies
461 Views
Kama picha inavyojieleza hili swali hata mimi nimejiuliza lakini jibu nimepata;
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Heri ya sikukuu ya sabasaba. Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia...
18 Reactions
158 Replies
9K Views
Azama Media ni moja ya kituo kikubwa ambacho kimeleta mabadiliko makubwa katika tasnia yetu ya habari hapa nchini. Wamekuwa wabunifu katika vipindi, ubora wa picha na mpangilio mzuri wa vipindi...
10 Reactions
129 Replies
13K Views
Habari wapendwa Mimi ni beginner naanza kutunza nywele asili ninazo ndefundefu fulani hivi, ila nimegundua nywele zangu ni kavu kupindukia. Naombeni ushauri nitumie hair cream gani kwa ajili ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa. Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake. Nipo Dar
2 Reactions
38 Replies
12K Views
Habari za jumapili wana JF. Katika masuala ya mavazi kuna mambo Mengi sana. Unakuta watu wamelingana kimo kila kitu hadi rangi na hata hadhi ktk jamii. Lakini wanapovaa kuna mmoja anasifiwa sana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika ibada ya mazishi ya Dkt. Kamala, wasomi wenziwe waliamua kuvaa full Academic gear kuonesha usomi wa marehemu Dkt. Diodorus Kamala. Sasa msomi mmoja, tena yuko mbele kabisa , KAVAA RABA...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Nadhani boys/men wenzangu mtakua shahidi kwa haya mambo juu ya hawa wasicha. >> Unakuta msicha kajipamba kapambika/ Kajiremba karembeka boy unamtokea unavuta mzigo getoni, baada ya kutaka kuanza...
38 Reactions
279 Replies
24K Views
Habari zenu wadau. Nimepanga nyumba moja hivi mjinj. Nyumba hii ina masista duu watatu hatari ambao ukikutana nao barabarani lazima zipu ikaze. Yaani ni mademu haswaa!! Lakini wanakasoro moja ya...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉 Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa...
11 Reactions
150 Replies
9K Views
Hao unaotaka kuwa impress watakuonakichaa Hapa ni kujitafutia matatizo Hata uwe na flat tummy hapa ni NO Hata iwe a night party, skirt iwe knee length M hand bag mkubwa ni wa nini?
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari 🖐 🖐 🖐 Kuna jambo naomba mnishauri, najua kuna watu humu mnajua mawili matatu kuhusu nywele. Mm nywele zangu kwa sasa zipo level hii(picha hapo chini) baada ya kuacha kunyoa takribani...
10 Reactions
80 Replies
5K Views
Mtu ukimwambia uwezo wetu wa kuigiza movie bado ni mdogo atakubishia mpaka kunakucha. Kuna movie nyingi za kibongo bado hazikizi viwango, unakuta mtu ana act ni maskini lakini ukimwangalia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom