Wasanii wetu bwana! una act maskini alafu nywele umeweka wave

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,404
9,234
Mtu ukimwambia uwezo wetu wa kuigiza movie bado ni mdogo atakubishia mpaka kunakucha.

Kuna movie nyingi za kibongo bado hazikizi viwango, unakuta mtu ana act ni maskini lakini ukimwangalia amevaa kitajiri, nywele kaweka wave, shati jipya lakini limechanwa tu hata suluari.

Kiukweli wabongo kuact bado toka amekufa Kanumba hakuna movie yeyote iliyobamba kwani aliweza kuigiza kiuhalisia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom