Naomba kufahamu mafuta ya kukuza nywele

Chukua dawa aina ya Aspirin tembe 5 kisha visage
Halaf changanya na Shampoo (head &shoulder)
Kisha osha nywele zako mara mara3 kwa wiki
Mkuu nakuhakikishia baada ya mwezi mmoja utajishangaa.

Kwa maelekezo zaidi ingia Youtube utapata urahis kufahamu jinsi ya kuzisaga ivo vidonge vya asprin na uchanganyaji wake
 
Rasta kama za Bob, Dube au rasta hizi za kike , maana siku hizi naona vijana wengi wanasokota tu rasta za kike , sijui wanamaana gani
 
Back
Top Bottom