Vitambi kweli ni changamoto

Vitambi kweli ni changamoto

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4,379
Reaction score
2,854
Wasalamu wakuu,

Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.

Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134]

Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134]
Kuvaa suruali shida, yaani shida tupu.


Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????

Msaada wenu wakuu.
 
Kuwa Na Mgeni Ni Shida Sana Najua Umeeleza Kwa Uchache Kufidia Muda
 
kunywa gongo kitakata
Hahahha...aiseee...nikirudisha nyuma miezi kama Sita hivi...nilikuwa fresh, sina tabu kukaa, kuvaa viatu...kupiga kiwi.

Now shida tu.

Gongo tena mkuu![emoji134] [emoji2]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom