Mwanaume unatoa nyusi?

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
6,114
5,380
Habari zenu Waungwana,

Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi
kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo anafanya waxing mikononi na miguuni, haja elekea kama shoga ila kwa tamaduni zetu za kibongo nimeona sio sawa kabisa, alipomaliza nikamuuliza yule dada huyu mzima yani hatuja mkosaa?

Kasema hua anakuja yeye na rafiki zake kila mwezi kufanyiwa facial na waxing ivi kweli wanaume wengine wamefikia hapo? naelewa akifanya facial ila sio kutoa malaika mwanamme mzima,kama wapo wenye hii tabia jamani acheni sio vizuri sasa mwanamke atoe malaika mwilini na wewe mwanamme utoe kutakua na tofauti gani?

kwa mataifa mengine ni sawa ila kwetu sisi apana idadi ya wanaume sipendi kuona inapungua please ..
 
1536580306442.jpeg
 
Lazima watanzania tujifunze na tufahamu Uhuru wa kujiamulia ili uishi maisha yako unavyotaka,...inabidi tujue mambo matatu katika dunia kuna kuzaliwa,kuishi na kufa....wasia wangu msiwe washamba wa kushanga shangaa kila kitu,kila mtu ana maisha yake ni vizuri kuishi kwa furaha kufanya kile unachokitaka kabla mauti hayajakufika....."wekeni hakiba ya maneno"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom