Nimejaribu mzigo OG wa Denim, Levi's na Lee zote lazima zichuje rangi, ila ukweli hizi zitachuja mdogo mdogo tofauti na zenye ubora mdogo.
Utakuta wafanyabishara wezi wanawaaminisha wateja wao...
Wakuu,
Nimekuwa nikikutana na hiki kitu kinaitwa Shower gel/body wash kwenye maduka ya vipodozi,nini kazi yake na ina tofauti gani na sabuni ya kawaida ya kuogea?
Na Je jinsia yoyote wanaweza...
Salaam wakuu.
Binafsi Sina lengo la kumharibia siku mtu ,au kumkejeli mtu lakini wakuu suruali kwa wanawake wembamba ni kama wanajidhalilisha
Naelewa kwamba wanataka wapendeze, waende na wakati...
Jana ilikuwa siku ya wandwanao maandalizi yalikuwa mengi huko magetoni.. Hasa usafi kwa ajili ya maandalizi
Shughuli ya usiku wa jana imewaacha wengi wakiwa hoi na uchovu mwingi na wengine muda...
Kumekuwa na uvaaji holela wa mavazi ya wanaume na wanawake. Ila naomba kujua haya kwa wanaume
1. Mkanda huwa utapita kulia kutokea kushoto au kushoto kutokea kulia
2. Shati/tshirt- urefu wa...
Wale waliosema black is beauty hawakukosea hata chembe na walikiona hicho wanachosifia katika uhalisia wake
Wanawake weusi bila kupepesa ni warembo na wazuri hasa wanapokuwa natural na vipodozi...
Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa,
mimi nina
Perfume
Nail cutter
Lotion
Body spray
Lip gloss
Aftershave
Tweezers
bila kusahau mafuta ya nywele
So what am I missing here?
I’m planning a trip soon and realized I’m a bit stuck on what to wear. Does anyone have recommendations for comfortable yet stylish travel outfits? I’d love tips for outfits that work for walking...
Wakuu.
Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk?
Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata...
Sijui ata brand izi zilipotelea wapi. Ila enzi zake zilisumbua sana.
Phat Farm: Hawa walikua na nguo, na viatu. ((P))
FUBU
DADA: Hawa majeans yao yalikua na mifuko ya nyuma mikubwa, kaunta...
Cap. Kapero.
Ni moja ya mavazi yanayopendwa sana ulimwenguni tena na watu wema.
Lakini kwa nchi yetu, vazi hili binafsi nimekuwa nikilinasabisha na uhalifu.
Mara kwa mara matukio haramu ya...
Hi wanaJF na wanafashion designers,
Naomba msaada wenu kwa mafundi wa suti Dar. Nataka kushona suti nzuri kabisa Kwa event ambayo nitahudhuria October 2025.
Bei take ni kiasi gani nikiwa na...
Ukiondoa saa ya kuonyesha muda na pete ya ndoa.
kuna watu huvaa vito mbalimbali kama vile cheni, bangili, pete, hereni, hadi meno ya mapambo yaliyopambwa kwa dhahabu, almasi au fedha.
Jamani naiulizia lotion ya Jambo ambayo ilikuwa maarufu miaka ya 2000. Niliitumia na niliikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini bahati mbaya sijaitia machoni siku nyingi. Je, bado ipo na inapatikana wapi?