Nataka kununua body spray, ipi itanifaa?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
Habari zenu wana JF,

Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakini sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea.

Kama waifahamu body spray yoyote yenye sifa hizo na inauzwa bei kuanzia 5000 hadi 10000 naomba nitajie.

Asanteni
 
Habari zenu wana JF Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakin sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea... Kama waifahamu body spray yoyote yenye sifa hizo na inauzwa bei kuanzia 5000 hadi 10000 naomba nitajie... Asanteni!!!!
Zipo zile za Made in Kigamboni,zilizokamatwa Sinza Madukani ni nzuri sana.
 
Habari zenu wana JF Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakin sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea... Kama waifahamu body spray yoyote yenye sifa hizo na inauzwa bei kuanzia 5000 hadi 10000 naomba nitajie... Asanteni!!!!
Wewe body spray haitakufaa mkuu....kwa hiyo bajeti nunua ndimu za kutosha na chupa ya Vinegar itakusaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom