'Perfume' ya mwenzako!

decomm

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
726
660
Habari wadau?

Nimekuta sehemu, nimecheka nimeona tushiriki pamoja kufurahi na kujiuliza.

'Perfume' yako, psii, psii, psii!

Ukichukuwa perfume ya mwenzako, psiii, psiii, psiiiiiiiiiiii, chwaaaaaaaaa! Psi psii, psiiiioiiioooooioo chwaaaaaaaa!

Hivi ni kwa nini ggggrrrrrr!


 
Hahahaha umenikumbusha wakati nipo Chuo kuna jamaa Fulani tulikuwa room moja hostel,jamaa ni mbinafsi sana lakini vya wenzake anapenda sana kuvidandia. Sasa alikuwa na mtindo lotion,dawa ya meno au perfume yake ikiisha anadandia vya watu kiroho safi kabisa lakini akiwa navyo yeye anafungia kwenye begi lake kwa kufuli. Sasa kuna siku alikuwa anawahi test si akasahau kufunga begi,tulichofanya ni kujipulizia kwanza ile perfume mwili mzima na mpaka nguo zetu zilizokuwa kwenye mabegi tukahakikisha ile perfume imeisha kabisa ndio tukairudisha baada ya hapo kila mtu tukapndoka zetu club sababu ilikuwa Ijumaa mpaka kesho yake,asubuhi tunarudi tunamkuta jamaa kanuna kishenzi tukampotezea semetre ilipoisha jamaa hakurudi tena kwenye ile room.
 
Back
Top Bottom