mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Pamoja na kupendeza kwote vazi la suti au koti la suti nimekuwa silioni kama ni muhimu kwa wakati wote hadi siku nitakapoona hivyo.
Angalau mkulima mimi pia nianze kutoka kivingine ninapoanza kuhudhuria na kutoa mada katika vikao,mikutano na warsha mbalimbali ndani na nje ya taifa hili pendwa. Hii ni baada ya kuongeza public speaking katika career zangu.
Kuanzia nextweek naongeza viwalo hivi katika maviko yangu baada.
Msaada au ushauri au mswaada jinsi ya kupendeza ndani ya haya maviko nisijejikuta navaa michanganyiko kama kachumbari nikawa kituko.
Maduka, vyazo vizuri kwa DSM ninapoweza kupata hivi vitu.
Ukitupia picha utabarikiwa zaidi