Joto la DAR ni kipodozi tosha kabisa cha kubadili mwonekano wako hususani ma-black wote

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Ndugu wanajamii amani iwe nanyi nyote!
Jiji la DAR ni zaidi ya vipodozi.Uwepo wangu ndani ya jiji hili nimejifunza mambo mengi sana lakini hili la joto nahitaji kujielimisha zaidi
Kuna watu wanaotokea mikoani hususani kama ni black(weusi kama wakongo au vijana wa museverin) hakika mtu huyo hubadilika na kuwa na ngozi nyororo na yenye kung'aa licha ya kutotumia kipodozi chochote
Naomba kuelimishwa nini sababu kuu inayopelekea hali hii?
 
Mkuu mi naona ni kwasababu ya bahari na hali ya joto ya kitropiki katika jiji la DSM,kwahiyo ule mvuke wa bahari unakuwa kama unafanya steaming kwa wakazi wa DSM,that little I know Mkuu.
 
Back
Top Bottom