Nahitaji kujua ujenzi mzuri wa mabanda ya kuku

Ramaa21

Member
Sep 28, 2022
19
12
Habari zenu wana JF naomba kujua jinsi ya kutengezenez banda la kufugia kuku kuanzis vifarangs mpka wakubwa.
 
Sawa. Sema idadi ya kiwango cha mwisho unachotaka kufuga. Aina ya kuku na mahali ulipo. Maana utengenezaji wa banda unakuwa rahisi ikiwa unajua utatumia nini kutengeneza.
 
Kuku 50 au 100. Aina ya kuku ni wa kisasa pamoja na kienyeji naitaji banda la mbao
 
Wazo zuri sana ningaliomba nikushauri kitu hapa usimame na Mungu ktk maombi ktk kulifanikisha hili maana ukisikiliza watu watakukatisha tamaa uache kufuga. nakushauri baada ya kuapata muono wa mabanda ungetafuta mahala ambapo kuna mfugaji wa kuku kwa sehemu ilioko ili ukajifunze mawili matatu ktk ufugaji wa kuku kabla yakuanza kufug. Mfano mimi ninafuga sana Mbuzi huwa nawashauri watu waje kwanza Nyumbani kwangu waone ufugaji na kuzijua changamoto zake na hizo ndio muhimu sana halafu ndio wajipange kuleta mbegu shambani kwao. Niushauri wangu tu, nakubali kukosolewa.
 
Tumia

1. Used mabati

2. Mabanzi na mirunda

3. Mbao za 2x 2 , 3x2 zilizotumika

Materials haya tafuta mtu aliyeezua nyumba yake utayapata kwa bei chee.

4. Tofali ndogo za kuchoma

5. Chicken mesh (wavu) ule mlaini (Kwa banda ambalo lipo karibu na makazi yako ama mlinzi)

Nini ufanye?

Jenga kuta mbili za marefu zinazotizamana kwa urefu wa mita 1.2 kutoka chini kwa kutumia mabanzi au tofali ndogo. Sehemu inayobaki (mita 1.1 ) ipige wavu.

Kuta mbili za mapana pandisha juu mwanzo mwisho. Ukuta uwe na urefu wa mita 2.3.

Floor weka zege jiwe au sakafu rough.
 
Urefu wa ukuta mita 4, upana mita 2.5
 
Wazo zuri sana ningaliomba nikushauri kitu hapa usimame na Mungu ktk maombi ktk kulifanikisha hili maana ukisikiliza watu watakukatisha tamaa uache kufuga. nakushauri baada ya kuapata muono wa mabanda ungetafuta mahala ambapo kuna mfugaji wa kuku kwa sehemu ilioko ili ukajifunze mawili matatu ktk ufugaji wa kuku kabla yakuanza kufug. Mfano mimi ninafuga sana Mbuzi huwa nawashauri watu waje kwanza Nyumbani kwangu waone ufugaji na kuzijua changamoto zake na hizo ndio muhimu sana halafu ndio wajipange kuleta mbegu shambani kwao. Niushauri wangu tu, nakubali kukosolewa.
KIONGOZI MUBENDE,unafugia wapi,Mimi ndio nimeanza kufuga mbuzi ninatamani sana kujifunza kwa wazoefu kama nyie, Mimi nipo dar ila project ipo kimanzichana Mkuranga,sijui wewe upo wapi ndugu yangu,
 
Nipo Dar nitafute tutajifunza pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom