Mkuu tunaomba mwongozo juu ya ufugaji wa kuku hao nahitaji hii mbegu tafadhali.
Naomba utusaidie kutufafanulia kwanini unasema ufugaji wa kuchi hauna faida?Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama.
Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi.
Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu
Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama.
Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi.
Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu


