Msaada: Wapi Jijini Dar es Salaam wanatoa huduma ya kupima soil pH?

IZENGOB

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
235
Likes
168
Points
60

IZENGOB

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
235 168 60
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naingia rasmi kwenye kilimo na nahitaji kulima kisasa sababu nyenzo ninazo.

Nahitaji huduma ya kupima soil pH kwa ajili ya kujua aina ya mazao ninayoweza kulima, aina ya mbolea ninayopaswa kutumia n.k
 
Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
8,127
Likes
4,257
Points
280

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
8,127 4,257 280
Kwa ufupi mkuu ungesema tu kwamba unataka kufanya soil testing na wala siyo soil pH peke yake. Nina uhakika na SUA, chukua sampuli zako za udongo (sijui kama unajua kuchukua sampuli - maana siyo kuzoa ji-udongo tu), panda bus upeleke SUA wakufanyie soil analysis ya uhakika. Kwa kila parameter walikuwa wanatoza Tsh. 5,000/= sasa sijui kama wamepandisha au bado wako vile vile. Fika SUA ulizia Prof. Semoka tatizo lako litapata tiba!!
 
IZENGOB

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
235
Likes
168
Points
60

IZENGOB

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
235 168 60
Kwa ufupi mkuu ungesema tu kwamba unataka kufanya soil testing na wala siyo soil pH peke yake. Nina uhakika na SUA, chukua sampuli zako za udongo (sijui kama unajua kuchukua sampuli - maana siyo kuzoa ji-udongo tu), panda bus upeleke SUA wakufanyie soil analysis ya uhakika. Kwa kila parameter walikuwa wanatoza Tsh. 5,000/= sasa sijui kama wamepandisha au bado wako vile vile. Fika SUA ulizia Prof. Semoka tatizo lako litapata tiba!!
Asante mkuu,nimesoma masomo ya arts kwa hiyo mambo haya ni mashikolo,(sijui jinsiya kuchukua udongo naomba maelekezo mkuu)
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
15,904
Likes
4,225
Points
280

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
15,904 4,225 280
Kwa ufupi mkuu ungesema tu kwamba unataka kufanya soil testing na wala siyo soil pH peke yake. Nina uhakika na SUA, chukua sampuli zako za udongo (sijui kama unajua kuchukua sampuli - maana siyo kuzoa ji-udongo tu), panda bus upeleke SUA wakufanyie soil analysis ya uhakika. Kwa kila parameter walikuwa wanatoza Tsh. 5,000/= sasa sijui kama wamepandisha au bado wako vile vile. Fika SUA ulizia Prof. Semoka tatizo lako litapata tiba!!
Kupima soil tu mpaka prof!?
Hii ni misuse of resources.
 
VeroEretico

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
293
Likes
175
Points
60

VeroEretico

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
293 175 60
SUA au kituo cha utafuti wa Kilimo Mringano Tanga ambacho ni kutuo special kwa mambo ya udongo pia unaweza peleka sample yako kituo chocho cha utafiti kichopo Katibu nawe na watafanyia soil analysis na kukufanyi data(parameter interpretation) za udongo wako nafiki Hapo Dar kuna kituo cha utafiti cha Kostec kama Sikosei kupo Mikocheni wanaweza fanya hiyo kazi
NB
Chukuwa soil sample wapekee wapime Soil parameters ambazo ni muhimu kama vile Soil pH, Soil Organic matter(Organic Caborn), C.E.C,N,P,K na kadhalika maana soil parameters in nyingi ili gharama isiwe kubwa
Kwenye uchuaji wa sample chukuwa composite sample kulingana na sifa ya Shamba lako kama Shamba lako Lina udongo, soil topography, soil colour zinazofanana chukua composite sample moja
Au Nenda ofisi ya Kata au halmashauri uliyo karibu nayo watalaam wa Kilimo watakusaidia
 
asante mkuu
 
Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
8,127
Likes
4,257
Points
280

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
8,127 4,257 280
Asante mkuu,nimesoma masomo ya arts kwa hiyo mambo haya ni mashikolo,(sijui jinsiya kuchukua udongo naomba maelekezo mkuu)
Haina ubaya mkuu,, hata arts nayo ni masomo tu, ni taaluma inayohitajika pia!! Hapo ulipo nenda ofisi ya kilimo hapo manispaa kwako utapata mtaalam wa kukuelekeza vizuri, kukuelekeza kwa key board itakuwa ngumu sana!
 
Forum statistics

Threads 1,203,539
Members 456,791
Posts 28,117,725