Asalaam,
Nilikua nataka kuijua kilimo cha ndizi,
Ukiwa na hekamoja pale kiwangwa na Mtaji wa laki tano
1. Unaweza kuotesha mingapi
2. Mda wa rotation
3. Soko likoje
Naishi Mwanza.
Shida imenianza tarehe 3/04/2026. Alianza mmoja hali anasinzia akatapika nikamchinja kesho yaka akaanza wingine nikamchinja.
Kukapoa kama siku 4 hivi.
Leo tarehe 08.04. 2026...
Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya.
Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI):
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa
Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya...
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko...
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja.
To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi...
Natafuta miche ya mwarobaini ya kisasa
Nimeiona hiyo miti kwa jirani yangu lakini huko alikonunulia miche wamehama,
Shamba lipo Chalinze, natafuta miche kwa kwa maeneo ya Dar na Pwani
KILIMO BORA CHA MPUNGA:
A: kuandaa shamba
shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow)
Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti
weka mifereji ya Maji vizuvizur
Andaa...
..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall.
..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa.
..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu...
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈.
Hilo limenifurahisha sana na nitaenda...
Habari za majukumu wakuu
Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
Tanzania mpaka sasahv kupitia mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera kuna jumla ya Viwanda 12 vya kuchakata mafuta ya Parachichi
Ila serikali kupitia wizara ya kilimo na COPRA wameshindwa...
Habarini wadau
Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa.
Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza...
Ni takribani miaka 8 tangu niliponunua pori lenye ukubwa wa ekari 10 katika kijiji cha Nnyengedi mkoa wa Mtwara na kuligeuza kuwa Shamba la Mikorosho.
Shamba ambalo halipo mbali sana na barabara...
Wakuu naomba msaada kwa yeyote anaefanya kazi TAHA au mtu au kikundi ambacho ni mwanachama wa TAHA Tanzania, nataka kujiunga na hii taasisi nikiwa na lengo la kubase on long term agriculture yaani...
Habari wa ndugu,
Napenda kupata maarifa zaidi kwenye ulimaji wa minazi, hasa kibiashara.
1. Wapi napata mbegu nzuri za kisasa
2. Utayarishaji shamba?
3. Muda gani wa kupanda, na namna gani nzuri...
Mkoani Geita, wakulima tunanyanyasika sana, katika suala la kuuza mazao (mahindi ), kwa sasa vipimo vinavyotumiwa na walanguzi ni gunia na ndoo ambazo hazina uhalisia ukizingatia ukubwa wa gunia...
Habari zenu wakuu
Ninaomba msaada wenu. Ningependa kujua Bei ya sasa ya viazi mviringo Obama na Sangita shamba katika eneo la Njombe.
Je, bei kwa mkulima shambani
Bei kwa gunia (100kg) ni kiasi...
Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.