Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level
All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the...
Habari wadau na wajasiliamali. Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nataka nianze ufugaji pia wa hawa chotara. Naomba kuuliza ni baada ya muda gani naweza kuvitoa vifaranga nje vikashinda kisha...
Habarini Wanajf
Naomba kuelekezwa namna ya matumizi ya dawa za kuangamiza magugu sinazofahamika kama palizi.
Nimelima alizeti maeneo ya Dodoma.
Mimea ya Alizeti ilikuwa na magugu, nikaelekezwa...
Habari
Nahitaji eneo lenye ukubwa wa Ekari 3 kuendelea hata 5 au 6 sio mbaya kwaajiri ya kukodi na kama tutaelewana naweza kubaliana kufanya manunuzi.
Nataka liwe maeneo ya kuanzia kibaha hadi...
MBUNGE BAHATI NDINGO, Mbunge wa Jimbo la Mbarali Akichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo ya Shilingi Trilioni 1.2 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025
"Natoa pongezi za dhati kwa Wizara ya Kilimo kwa kazi...
Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Akimpongeza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein...
MHE. TIMOTHEO MNZAVA, Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini...
MBUNGE SUMA FYANDOMO: RAIS SAMIA ALITOA RUZUKU NA BEI YA MBOLEA IKASHUKA KUTOKA TSH. 150,000 MPAKA TSH. 60,000/KILO
"Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu kwa...
Habari za weekend wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima…
Niende kwenye mada, nina eneo la kutosha na lenye banda la kisasa maeneo ya CHANIKA-Dar nimeanza ufugaji wa Ng’ombe kwasasa yupo mmoja...
RC KATAVI, MHE. MWANAMVUA MRINDOKO: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka
UJUMBE WA RC KATAVI KWA WATANZANIA KUHUSU MAZINGIRA WAKATI WA MAAHDIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNANO.
Mkuu wa Mkoa...
Kuna project nafuatilia nilikuwa nataka kujua watu wa Arusha km mngenisaidia retailer ambaye anahusika na izi Organic Black Kidney beans kwa wingi sana nijue.