Ufugaji wa samaki kibiashara katika mabadiliko ya tabianchi kwa sasa

Fuga ki biashara kwa maana hakikisha unapata mbegu bora,Chakula na miundombinu mizuri.Soko la samaki halijawa baya sana na kama utazingatia hayo naona kabisa fursa ipo.
 
Msiwe mnawaisha kutoa samaki humo kwenye mabwawa, acheni wakomae kidogo ili wawe na ladha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom