Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari wadau. Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa. Kufuatia changamoto ya ajira...
14 Reactions
253 Replies
53K Views
wote wa jukwaa la Ujasiriamali, nichukue fursa hii kuwatakia kila la heri katika sikukuu ya Mwaka mpya na sikuu ya Krismasi. Katika safari ya Ujasirimali kuna Changamoto nyingi sana tena mno, na...
21 Reactions
241 Replies
18K Views
Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato. Naombwa kujuzwa wana jamvi na kupewa darasa kuhusu...
3 Reactions
240 Replies
139K Views
Wadau, Nahitaji kulima maparachichi. Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba kujua changamoto na nini nifanyeje ili nieweze kufanikiwa. MASWALI YA WADAU WENGINE KUHUSU ZAO HILI Kama kuna mtaalamu wa...
5 Reactions
235 Replies
104K Views
Habari wana jamvi! Leo nimeona si vibaya kushare nanyi kidogo nnachojua kuhusu kilimo cha umwagiliaji, na katika uzi huu nitajaribu kuelezea kile nnachojua na pia kupata mawazo kutoka kwa wadau...
12 Reactions
231 Replies
47K Views
Habarini wafugaji,nimepitia nyuzi nyingi humu ndani. Ufugaji wa kuku,Bata na ng'ombe umezungumziwa kwa kiasi kikubwa sana, nyuzi hizo zimenisaidia katika mradi wangu wa ufugaji. Kwa sasa nataka...
16 Reactions
231 Replies
30K Views
Nasikia gunia la kitunguu saumu la debe tano linauzwa 500,000. Hiki kitunguu hakina mbegu hivyo unapanda vile vipande vyake. Wanasema ekari moja inaweza kupanda gunia 16 hadi 28 za kilo mia...
15 Reactions
229 Replies
115K Views
Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo yenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana.Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya...
11 Reactions
224 Replies
48K Views
Wana JF, Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji. Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40 yrs. Baada ya...
67 Reactions
223 Replies
58K Views
Heshima kwenu wakuu. Ninaambiwa na watu kwamba kilimo cha tangawizi kinalipa sana kwa sababu soko la uhakika lipo na ni zuri. Nimeshaelekezwa sehemu ambayo hili zao linakubali uzuri. Ombi langu...
8 Reactions
219 Replies
123K Views
Wakuu , pole na hongereni na weekend ! Mimi nimeamua kudeal na kilimo cha mazao ya mbogamboga kwenye eneo langu lenye ukubwa wa ekari moja ninalolimiliki mwenyewe baada ya kulima kwa kukodi...
58 Reactions
211 Replies
42K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
9 Reactions
205 Replies
36K Views
Dawa za kinga na chanjo nazijua, chakula ni uhakika kwakua kuna mashine ya kukoboa na kusaga unga wa mahindi. Eneo lipo la kutosha na maji ya kumwaga. Mtaji ni kuku 15 niliowakuta hapahapa kwa...
36 Reactions
204 Replies
18K Views
Ninajua moja ya Sheria za JF ni ''No name calling'' Naombeni mods mniwie Radhi. Katika jukwaa hili la Biashara tuna wachangiaji wengi na wazuri sana, Wachangiaji wasiopenda kuleta Mzaha kwenye...
16 Reactions
202 Replies
17K Views
Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler. Mijini hakuna...
77 Reactions
198 Replies
21K Views
Alizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. MAMBO...
5 Reactions
192 Replies
129K Views
Baada ya mvua za msimu huu kuwa za kusita na kupoteza mbegu kwa kupanda zaidi ya Mara mbili na kuungua na jua, huku nyanya nazo zikiwa zinachechemea, nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara Aina...
35 Reactions
191 Replies
38K Views
  • Redirect
wakuu nataka kuanzisha internet cafe hapo bongo mimi nipo state nataka kujua kawaida how much do you charge per hour this days ?na internet provider fee yao ni kiasi gani kwa mwezi.thanks...
0 Reactions
Replies
Views
Katika mizunguko yangu ya kazi nilitoka Morogoro nikaenda Mbeya kufanya shughuli zangu za kilimo hasa umwagiliaji, basi nikiwa Mbeya pale kwa kuwa mimi ni mdadisi nitampigia jamaa yangu mmoja...
74 Reactions
189 Replies
71K Views
Habari Wakuu Nilipitia maonesho ya nane nane mwaka huu na moja ya kilimo kilichonivutia ni kilimo cha Dengu na Conflower/Brocolli. Mazao haya yana soko kubwa sana nje ya nchi hasa India kwa Dengu...
4 Reactions
188 Replies
95K Views
Back
Top Bottom