Habari.
Kunahitajika nyama ya punda kwa ajili ya export .Sasa nahitaji information nitapata wapi hizo nyama za punda na utaratibu wote wa kisheria unaohitajika kuanzia kuchinja na kusafirisha...
Asalaam wapendwa... naomba kuuliza.. nimefungua biashara ya kuuza maji na juice kwa jumla..ila ndio nipo kwenye mchakato wa kufatilia leseni.. sasa naweza kufungua kabla cjakamilisha leseni? Maana...
Habari ya mwisho wa wiki wanajamvi. Napenda kupata ufahamu kuhusu UTT au Unit Trust Fund,nimepata kuwasikia jamaa wanaofanya masoko kwenye redio na kwenye Tv hasa ITV kweli nilivutiwa sana na...
Habari za Leo wanajamii forum jukwaa la ujasiliamali.....Naomba tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipa market connection ya Wale wanunuzi wa kuku wa kienyeji (kwa jumla) kwa hapa daresalama Naomba...
wakuu, naomba mjuzi wa kutengeneza pop corn zilizo bora na zitakazopendwa na wateja kwa ladha yake. tunayo machine ya pop corn lakini tunakosa ujuzi wa kuweka manjonjo hivo tuko tayari kujifunza...
kwanza napenda kuwasalimu.na poleni kwa majukumu.Nimekuja hapa jukwaan kuomba msaada wa mawazo.Mimi ni mwajiriwa wa serikali(mwl) kipato changu hakikidhi mahitaji yangu ya kila cku.napenda sn...
Wadau naomba ushauri, nataka nifanye biashara ya kufuata Laptop China then nije niuze bongo, so naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya hiZi biashara za kufuata china zinavyofanyika, anipe...
Habari zenu wana jf
Nimeona deal somewhere ambalo naweza pata cash ya kusukuma life natafuta packaging containers kuanzia mifuko,chupa ,mabox na kadhalika
nataka niwe dealer wa mambo hayo je wapi...
Naombeni ushauri juu ya pump gani nzuri yenye ubora ya kuvuta/kunyonya maji mtooni kwa ajili ya kumwagilia shambani.Size iwe inch 3
Naombeni pia mnijuze ni ipi bora kati ya ile inayo tumia disel...
Habari wadau
Ninatoa huduma za UCHAPISHAJI (PRINTING) wa documents mbalimbali kama vile:-
INVOICE BOOK, PROFORMA BOOK, RECEIPT, CASH SALE BOOKS, ANNUAL REPORT,
MAGAZINES, BANNERS, STICKERS...
Habari zenu wandugu,
Kwanza nashukuru kwa kunipa hamasa ya kuingia kwenye kilimo.
Inshallah mambo yakienda vizuri nategemea kuwa na mahindi kama gunia 800 au zaidi mwezi wa saba mwaka huu hapo...
Jamani maisha magumu na kamshahara kangu nahangaika tu mtaani.
Naombeeni ushauri ni namna gani nifungue biashara ya kujikimu ili niachane na maisha ya kutegemea mshahara wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.