Nafungua radio kanda ya ziwa..ushauri tafadhali

Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
927
Likes
214
Points
60
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2008
927 214 60
habari zenu waungwana.....nimekuja hapa kuwaomba ushauri na ntaheshimu mawazo yenu..!
nataka kufungua radio katika mkoa mmoja wapo wa kanda ya ziwa (mwanza,geita,shinyanga au simiyu),nimeshaanza utaratibu wa kuregister kampuni hapo brela na pia nimeshaanza kununua vifaa vya radio taratibu.
sasa kichwa kinaniuma sana kila nikifikiria ni mkoa gani niiweke hii radio....mi ni mwenyeji wa mkoa mpya wa simiyu lkn kwa bahati mbaya sijui mazingira ya huu mkoa,na kwa sasa makazi yangu yapo nje ya Tanzania(UK)
hivyo kwa wale ambao wanaielewa vizuri hii mikoa naomba ushauri wenu ....natanguliza shukrani kwenu
 
mito

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Messages
8,926
Likes
3,934
Points
280
mito

mito

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2011
8,926 3,934 280

mkuu hapo kwa red unataka wanaoielewa ktk nyanja zipi? hebu funguka zaidi usaidiwe .....it's too general!
 
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
927
Likes
214
Points
60
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2008
927 214 60
mito nilimaanisha ni mkoa gani ambao unaweza kuwa mzuri kwa mimi kufungua hii biashara na kupata mafanikio ....maana radio kujiendesha Inabidi upate matangazo ya biashara ..hivyo kuifungua ktk mkoa wenye pilika za biashara na mzunguko mkubwa wa pesa ni moja ya vizuri zaidi.....maana mimi nimeshaplan jinsi ya kuwavutia wasikilizaji ktk kipindi cha miezi sita ya mwanzo baada ya hapo inabidi ianze kujitegemea kwa kujiendesha yenyewe....nadhani utakuwa umenipata
 
Last edited by a moderator:
believer

believer

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Messages
592
Likes
9
Points
35
believer

believer

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2012
592 9 35
shinyanga,ishu ya kupata matangazo utafungua ofisi za kurahisisha izo deals,establish frequency za kufika mikoa yote uloitaja.
 
Malick M. Malick

Malick M. Malick

Verified Member
Joined
Apr 2, 2013
Messages
627
Likes
211
Points
60
Malick M. Malick

Malick M. Malick

Verified Member
Joined Apr 2, 2013
627 211 60
ungetaka mkoa mwingine ningeshauri,MI KWETU KUSINI
 
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
927
Likes
214
Points
60
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2008
927 214 60
shinyanga,ishu ya kupata matangazo utafungua ofisi za kurahisisha izo deals,establish frequency za kufika mikoa yote uloitaja.
Asante kwa ushauri wako..ntalifanyia kazu suala lako maana nimewapata watu ambao watanifanyia research kati ya shinyanga na mwanza maana ndio mikoa mikongwe kuliko hiyo mingine kwa kanda ya ziwa
na shinyanga naiona haina local radio ya maana hivyo naweza kuifanya radio yangu kuwa ndio kipenzi chao pale mkoani
 
mito

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Messages
8,926
Likes
3,934
Points
280
mito

mito

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2011
8,926 3,934 280
mkuu jitahidi uweke transmitter kubwa ili uweze kucover hiyo mikoa yote uliyoitaja ndo utapiga hela, ila sina uhakika kama TCRA watakuruhusu maana huko nako ni kasheshe tupu.
 
believer

believer

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Messages
592
Likes
9
Points
35
believer

believer

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2012
592 9 35
Thts gud,pia tengeneza o tuseme sajil kampun ambayo itakua responsible na all copy rigths za deals za matangazo,kuajir competent people,inawezekana kabisa,stay focus.
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,415
Likes
264
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,415 264 0
habari zenu waungwana.....nimekuja hapa kuwaomba ushauri na ntaheshimu mawazo yenu..!
nataka kufungua radio katika mkoa mmoja wapo wa kanda ya ziwa (mwanza,geita,shinyanga au simiyu),nimeshaanza utaratibu wa kuregister kampuni hapo brela na pia nimeshaanza kununua vifaa vya radio taratibu.
sasa kichwa kinaniuma sana kila nikifikiria ni mkoa gani niiweke hii radio....mi ni mwenyeji wa mkoa mpya wa simiyu lkn kwa bahati mbaya sijui mazingira ya huu mkoa,na kwa sasa makazi yangu yapo nje ya Tanzania(UK)
hivyo kwa wale ambao wanaielewa vizuri hii mikoa naomba ushauri wenu ....natanguliza shukrani kwenu
Unatakiwa ujipange haswaa, maana ndugu zangu wasukuma kuja kuwaconvice wasiskilize RFA waskilize radio yako inakuwa shughuli pevu! Binafsi ningekushauri uangalie mikoa kama KIGOMA, TABORA, RUVUMA, MTWARA na LINDI!
 
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
927
Likes
214
Points
60
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2008
927 214 60
Unatakiwa ujipange haswaa, maana ndugu zangu wasukuma kuja kuwaconvice wasiskilize RFA waskilize radio yako inakuwa shughuli pevu! Binafsi ningekushauri uangalie mikoa kama KIGOMA, TABORA, RUVUMA, MTWARA na LINDI!
Nimekuelewa ndg..kwa kweli najipanga hasa na uzuri wa wasukuma wanapenda chao hasa kikiwa kwenye mkoa wao ....ntajitahidi kuifanya waikubali na waipende.....Asante kwa ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
927
Likes
214
Points
60
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2008
927 214 60
mkuu jitahidi uweke transmitter kubwa ili uweze kucover hiyo mikoa yote uliyoitaja ndo utapiga hela, ila sina uhakika kama TCRA watakuruhusu maana huko nako ni kasheshe tupu.
lengo langu ni kudeal na kanda ya ziwa hivyo ntajitahidi kuifanya isikike vizuri na kushika ktk kanda hiyo
Tra wao hawana tatizo,unapokamilisha taratibu zao na kulipa fee yao basi wanakupa masafa
 
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
927
Likes
214
Points
60
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2008
927 214 60
Thts gud,pia tengeneza o tuseme sajil kampun ambayo itakua responsible na all copy rigths za deals za matangazo,kuajir competent people,inawezekana kabisa,stay focus.
Asante ndg kwa ushauri ...kwa kweli najipanga sana ili ndoto yangu itimie
 
M

mwajum

Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
22
Likes
1
Points
5
M

mwajum

Member
Joined Feb 26, 2014
22 1 5
habari zenu waungwana.....nimekuja hapa kuwaomba ushauri na ntaheshimu mawazo yenu..!
nataka kufungua radio katika mkoa mmoja wapo wa kanda ya ziwa (mwanza,geita,shinyanga au simiyu),nimeshaanza utaratibu wa kuregister kampuni hapo brela na pia nimeshaanza kununua vifaa vya radio taratibu.
sasa kichwa kinaniuma sana kila nikifikiria ni mkoa gani niiweke hii radio....mi ni mwenyeji wa mkoa mpya wa simiyu lkn kwa bahati mbaya sijui mazingira ya huu mkoa,na kwa sasa makazi yangu yapo nje ya Tanzania(UK)
hivyo kwa wale ambao wanaielewa vizuri hii mikoa naomba ushauri wenu ....natanguliza shukrani kwenu
tupatie feedback
 
masai dada

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
13,244
Likes
664
Points
280
masai dada

masai dada

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
13,244 664 280
ongeza fursa kwa vijana thats is good
 
MC RAS PAROKO

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
477
Likes
284
Points
80
MC RAS PAROKO

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
477 284 80
Hongera sana mkuu umekuja na wazo zuri na ninaamini utafanikiwa kutokana na ulivyojipanga. USHAURI: Nadhani ingekua vizuri kufungua kituo hicho eneo ambalo linafikika kirahisi kipindi chote cha mwaka (kiangazi & masika) vile vile uzingatie usalama wa eneo husika ili kuwafanya wafanyakazi wako watakao kuwa wakitoka studio usiku waweze kufika makwao kiurahisi na salama na kwa kuwa ndo unaanza ni vizuri ukawapata watangazaji ambao ni fresh from school sababu kubwa ni kuepuka watangazaji wenye majina makubwa kuliko kituo chako sababu wanaeza kuwa na kiburi na wengi wao wanafanya kazi kwa kuigana huku wakitaka mishahara mikubwa kisa eti wao ni mastaa. Jifunze kwa waliofeli kwa sababu hata mjinga analo la kumfundisha mjanja jaribu kupeleleza kwanini walifeli ili nawe uepuke anguko hilo. Jifunze kwa waliofanikiwa pia kwa kutazama ni njia zipi walizitumia hadi kufika hapo walipo na wewe uzichukue na kuziboresha na kuzitumia kwako ili upate mafanikio na usisahau mapungufu yao uyaweke kama changamoto kwako na usiyaruhusu yatokee kamwe. When you minimize cost you maximize profit automatically kwahiyo jitahidi kadri uwezavyo kupunguza matumizi yasiyo na ulazima sana ambayo hayataathiri ubora wa kazi yako. Wakati mkiwa kwenye majaribio ndo wakati mzuri wa kuteka wasikilizaji wengi kwa kuweka miziki pendwa na kutoa muda mrefu kwa kusoma sms za wasikilizaji na kupokea simu zao ili wawape taarifa kuwa wanaonaje usikivu wa kituo chako maeneo yao pamoja na wao kupendekeza vipindi wanavyovipenda. Mungu akuongoze ufike mbali zaidi ya hapo unapowaza. Ahsante.
 
Mapolomoko

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
1,754
Likes
14
Points
0
Mapolomoko

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
1,754 14 0
Asante kwa ushauri wako..ntalifanyia kazu suala lako maana nimewapata watu ambao watanifanyia research kati ya shinyanga na mwanza maana ndio mikoa mikongwe kuliko hiyo mingine kwa kanda ya ziwa
na shinyanga naiona haina local radio ya maana hivyo naweza kuifanya radio yangu kuwa ndio kipenzi chao pale mkoani
mwanza njoo nikupe eneo tufanye biashara. liko nyasaka msumbiji zinapo geuzia Hiase ni PM tufanye biashara
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,909
Likes
1,408
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,909 1,408 280
itabidi ujitahidi sana kwenye suala la kujitangaza kwani nawafahamu sana wasukuma wao ni rfa tu na redio tanzania tena wao wanatembea na zile redio huku zikiimba kwa nguvu mtaa mzima utajua kuwa amepita mtu
lengo langu ni kudeal na kanda ya ziwa hivyo ntajitahidi kuifanya isikike vizuri na kushika ktk kanda hiyo
Tra wao hawana tatizo,unapokamilisha taratibu zao na kulipa fee yao basi wanakupa masafa
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,909
Likes
1,408
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,909 1,408 280
mtangazaji kama mm nitafaa sana kwenye hiyo redio yake ila natokea ng'ambo sijui yeye anawataka wa hukohuko mwanza
Hongera sana mkuu umekuja na wazo zuri na ninaamini utafanikiwa kutokana na ulivyojipanga. USHAURI: Nadhani ingekua vizuri kufungua kituo hicho eneo ambalo linafikika kirahisi kipindi chote cha mwaka (kiangazi & masika) vile vile uzingatie usalama wa eneo husika ili kuwafanya wafanyakazi wako watakao kuwa wakitoka studio usiku waweze kufika makwao kiurahisi na salama na kwa kuwa ndo unaanza ni vizuri ukawapata watangazaji ambao ni fresh from school sababu kubwa ni kuepuka watangazaji wenye majina makubwa kuliko kituo chako sababu wanaeza kuwa na kiburi na wengi wao wanafanya kazi kwa kuigana huku wakitaka mishahara mikubwa kisa eti wao ni mastaa. Jifunze kwa waliofeli kwa sababu hata mjinga analo la kumfundisha mjanja jaribu kupeleleza kwanini walifeli ili nawe uepuke anguko hilo. Jifunze kwa waliofanikiwa pia kwa kutazama ni njia zipi walizitumia hadi kufika hapo walipo na wewe uzichukue na kuziboresha na kuzitumia kwako ili upate mafanikio na usisahau mapungufu yao uyaweke kama changamoto kwako na usiyaruhusu yatokee kamwe. When you minimize cost you maximize profit automatically kwahiyo jitahidi kadri uwezavyo kupunguza matumizi yasiyo na ulazima sana ambayo hayataathiri ubora wa kazi yako. Wakati mkiwa kwenye majaribio ndo wakati mzuri wa kuteka wasikilizaji wengi kwa kuweka miziki pendwa na kutoa muda mrefu kwa kusoma sms za wasikilizaji na kupokea simu zao ili wawape taarifa kuwa wanaonaje usikivu wa kituo chako maeneo yao pamoja na wao kupendekeza vipindi wanavyovipenda. Mungu akuongoze ufike mbali zaidi ya hapo unapowaza. Ahsante.
 
MC RAS PAROKO

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
477
Likes
284
Points
80
MC RAS PAROKO

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
477 284 80
mtangazaji kama mm nitafaa sana kwenye hiyo redio yake ila natokea ng'ambo sijui yeye anawataka wa hukohuko mwanza

Unafaa sana ladyfurahia na kutoka ng'ambo sio kipingamizi uwezo wako ndo unao matter tuma application best..
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,272,606
Members 490,036
Posts 30,454,959