Habari wakuu?
Kwa sasa unaweza kuwa wa kwanza kabiasa kupata KARI improved Kienyeji, Hawa ni kuku wenye utagaji wa kiwango cha juu kabisa kuliko hata kuku wa Kisasa wa mayai, Kwa sasa unaweza...
Habari za Jamiiforums.
Kuku wangu wengi wameanza kuugua mafua, na kufa kwa haraka,
Sijui wamekula nini?
tangu tarehe 2/2/14 kila siku kwenye banda ninakuta kuku aliyekufa"
Msaada wa...
Habari zenu.
Nimekuwa nikipata maombi mbalimbali ya ushauri wa mambo ya biashara kutokana na posts zangu ambazo nimekuwa nikiweka humu JF. Na ambayo ilisababisha meseji nyingi zaidi ni ile post...
Hivi mbegu nzuri za vitunguu ni zipi nitajie jina lake. Pia heka moja ya vitunguu hutoa gunia ngapi? Na kwa mkoa wa mara na mwanza gunia la vitunguu huuzwa kwa bei gani?
Hallow wana jf... Nmerud tena niko nauza nafaka zote yaan mchele, unga, maharage, mafuta ya alizeti na vingne vngi vyote vinapatikanika kwa bei ya jumla na rejareja. ..... Tena kwa bei nafuu kabisa
Wadau karibuni Kwa picha zaidi kuonyesha jinsi KILIMO na Ufugaji kinavyowatoa wengine,inaweza kuwa wewe Leo karibu Kwa kitabu chochote cha Ufugaji na aina yoyote ya KILIMO.Piga simu 0758303090
Wadau, niko Dar na nina shamba la heka 2, nataka kuanza project ya ufugaji Kitimoto. ni wapi nitapata mtaalamu wa mifugo anielekeze jinsi ya kuanza na kuwatunza vizuri?
Wadau walioko kwenye mtandao wa instragram,tembelea page yetu hapo upate mwongozo kuhusu KILIMO biashara.Ununuzi uuzaji na ushauri wa maswala ya KILIMO na UFUGAJI Kwa ujumla.
Asante
Habari zenu wana jf
Katika pita pita zangu hapa mjini kwa kipindi cha wiki mbili nmeona kampuni zaidi ya 6 zinazoshughulika na kuprocess maziwa kama vile;tanga fresh,mara milk,dar milk,profate nk...
Habari zenu wanajamii?Mimi ni mchungaji ambaye nahitaji kujikwamua na ugumu huu wa maisha. Nina wazo la kutafuta tsh milioni 2 na hapa nina taslim tsh laki 2. Naendelea kutafuta zingine. Nimewaza...
Mwenye taarifa juu ya uuzwaji wa gari tajwa hapo juu naomba anijulishe. Iwe na rangi ya silver na iliyo kwenye good condition kwa matumizi. Pesa ipo cash.
Tuwasiliane kwa +255717935721
Tunahitaji godown mbili kariakoo na maeneo ya karibu na kariakoo.
1. Godown lenye ukubwa wa mita za mraba(squire meter) 500 hadi 700 ( 500m3 - 700m3) liwe maeneo ya kariakoo au nje kidogo ya...
Wana jf nipo chalinze najajishughulisha na uuzaji wa nguo za wanawake kama vile kanga vitenge vikoi madila,wax nk,.Naomba Mwenye Kufahamu Maduka Ya Jumla Ya Hz Nguo,maana Nimekuwa Nikichukulia...
Wana jukwaa kwanza nianze kwa kuwasalimu, naimani wikiend ilikuwa nzuri na mmejiandaa vema kuianza wiki. Binafsi namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwani kiafya nipo vizuri.
Lengo kuu la...
Napenda kutoa shukrani kwa wana janvi kwa nilichojifunza humu kwa muda mrefu na kufanikiwa kukamilisha kuandika kitabu cha ujasiliamali chenye kurasa 240.... kiitwacho "THE SECRET(S) OF SUCCESS IN...
kiwanja kipo maeneo ya Vianzi karibu na Tank la maji ni tambalale.mita 40 kwa 30 hatua za kawaida.viko 2 on one place.Tsh 4 milion.mawasiliano 0713649555
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.