Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hi Jijini Dsm kuna upungufu mkubwa wa sehemu nzuri za kupumzikia familia ( yaani mahali ambapo wewe na familia yako unaweza kwenda bila kigugumizi),mahali ambapo unaweza kuyaona mazingira yenye...
4 Reactions
59 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo mwaka huu nimeona mtaani kugumu kwa kweli, kwa kuwa kuna babu yngu mmoja ni mzoefu sana katika masuaala ya biashara nilikaa nae chini kuona nini nitafanya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu... Nipo wilaya ya Rufiji. Nina 5milioni je, nawezafungua kiwanda cha unga wa sembe? Je, mashine bora na mzuri zinapatikana wapi. Karibun...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwa anaejua soko la mafuta ya alizeti likoje dsm naomba anipe maujanja nijiajiri.
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Kiwanja kipo goba km4 toka itakapokuwa barabara ya lami. kina face barabara ya mtaa. mtaa umepangika kisasa, umeme upo karibu kabisa. kina ukubwa wa 400sqm. Bei mil 8.5 serious buyer contact...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninawashukuru wajasiria mali wote kwa ushauri wenu mulionipa,kutokana vifo vya ghafla vilivyo kuwa vinatokea kwa kuku wangu.Baada ya kuomba ushauri kwa wajasiria mali chini ya kichwa cha habari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadao naomba mnijuze kwa anaefaham , je! Ni mitumba ya nchigani ambayo ni mizuri kwa kuuza? Plz!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi sina kazi ila nilibahatika kufanya kazi hapo miaka ya nyuma nikajenga nyumba ya vyumba vitatu, Maisha yamekuwa magum sana nimewaza kuigeuza nyumba yangu niifanye guest house ili niwe napata...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wakuu heshima kwenu. _kuna jamaa yangu naye ni mfugaji kama mimi alianza na kuku wachache sana sasa ananiambia anao 60 ndo nikawa namwambia anatumia dawa gani kuwatibia nikawa namwambia wa kwangu...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari waungwana, Wadau Mimi ni masikini ila kwa kipindi hiki nimebahatika kupata tzs 4,000,000 natamani sana niizalishe sijui niizalisheje naomba ushauri wenu nifanyeje? Natanguliza shukraan
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Natanguliza shukurani wana jamii forum, mimi ni mjasiriamali nina hold diploma in business administration na Nina kampuni nadeal na kuuza nafaka na logdes(guest houses) naomba mwenye uelewa mpana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utando huu huenea sehemu zote za shina na hata majani na hivyo kusababisha mmea kudhoofika na hata kufa. Nimejaribu kutumia mbalimbali za mimea bila mafanikio kwa vile dawa zote hizo zinzteleza...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
nataka kumwagizia waifu probox van ya 2009, nimeingia chaka jamani? kwa kutunza wese hapa dsm, makazi ni bunju kazini posta, ubora, spareparts n.k. kwa wazoefu tafadhali mnishauri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza kuku wa kienyeji wenye umri tofauti tofauti. Kwa mahitaji ya kula na kufuga/mayai. Bei ni kuanzia 9000 mpaka 15000. Karibuni wote. Tuwasiliane kupitia Pm
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Namshukuru Mungu kwa kunipa jicho la kuiona fursa ya biashara ya mtandao ambayo ni biashara inayofanywa na watu wa karne ya 21 na inakubalika hata kwa watu mashuhuri mfano Bilgates alisema "If I...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ndg zangu wana jf? Mimi ni mkulima mdogo lakini pia ninafanya biashara tofauti tofauti,katika kujipanua zaidi nina mpango wa kuanza biashara ya kununua mahindi kutoka kwa wakulima na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza uyoga nalima mwenyewe situmii dawa. Pact ya gram 200 kwa sh 2000tu. Ukichukua kuanzia tano unaletewa ulipo. Call or whatsapp no 0718412041
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wana JF... wadau mimi ni mjasiriamali ninauza uyoga (oyster mushroom). nipo dar es salaaam.,nina uwezo wa kusupply uyoga wa kutosha kwa kila siku. kwa yeyote anayehitaji anaweza...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
On September 18th Excel Management and Outsourcing hosted a lunch meeting for the top C.E.O of 50 corporates in Tanzania [Market leaders/Captains] at Serena hotel in Dar es Salaam. One of the key...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Kwa anayehitaji mayai ya Kuku weusi chotara yanauzwa piga namba 0713694820 kwa kuagiza tupo dar, utaletewa hapo ulipo kwa wakazi wa dar. Yanafaa kwa kukutotolesha pia. Kwa wale watotoleshaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…