Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nimepata ujumbe huu kwenye simu yangu. Je hawa wapo kweli? Nukuu: RED EDGE SACCOS LTD inatoa mikopo ya Ada, Pango la nyumba bila ya dhamana. Pia Bajaj, Pikipiki, Solar power, Fedha na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza nimeweza nunua shamba langu ekari kumi Kiwangwa. Kwa kweli nimefurahi sana. Ila sasa wanajamvi nishaurini nifanye nini nilime nini Kiwangwa Mamboela. Nimeona mashamba makubwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua sehemu ambayo mafunzo ya ujasiriamali yanatolewa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau, kuna kampuni au watanzania wanaoshughulika na uletaji/usafirishaji wa mizigo toka USA? gharama zao zipoje? kama kuna watu wameshwatumia, experience yao ipoje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama nina pesa taslim sh. milion moja. 1 naweza kuifanyia nini ili nisonge kimaisha
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani nina mtaji wa tsh 1000000 nifanye biashara gani? naomben ushauri wadau.
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Wadau! Hivi naweza pata mashine ya kuangulia mayai isiyotumia umeme!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Akina Chasa, Mama Joe, Sayuni, SUDEKI na wengineo.... Fursa hii ni yenu hasa wenye makampuni rasmi katika value chain ya kuku na mahindi. Tangazo lilikuwa on the Guardian jana so here you go...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania's has been growing on average at 7% a year. Ironically this growth has not created productive jobs for Tanzania's 20 million strong workforce? What went wrong? What needs to be done to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SERIKALI inatarajia kukopesha vikundi vya uzalishaji mali vya vijana vipatavyo 453 katika mwaka wa fedha 2014/15 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana. Hayo yamesemwa hivi karibuni na Kaimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hbr jaman.... kuna sehem nategemea kupata 6m sasa nilitaka kuweka kwenye broilers sasa mahesab mbona yanaleta lost kwa kuku mmoja Wiki ya 1 15g*kuku 1000=15,000 sawa na kilo 15kwa siku na...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Naomba msaada wana jf kwa anaefahamu jinsi ya kutengeneza maziwa mtindi na changamoto za biashara hii ili tuanze kufanya ujasiriamali huku pia. Thanks
0 Reactions
16 Replies
21K Views
Mimi in mfanyabiashara wa Samaki sato toka mwanza lakini nimejikuta nikikutana na wavuvi wakiwa na marundo ya kamongo(lungfish) bila kua na soko.natafuta soko la kamongo nianze kusuply kwa kilo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wadau,Mimi nataka nianze biashara ya kuuza nanasi hapa dar kwani naona kama ndio msimu umeanza maana nimeona kuna maeneo washaanza kumwaga Naombeni mwenye kujua zinakopatikana kirahisi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana jf naombeni msaada wenu wapi naweza kupata ng'ombe wamaziwa .Thanks in advance
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wajasiriamali habari za jpili? Nina vfaranga hapa shambani kwangu kama cku nne toka niwalete cha ajabu ni kila nkienda kuwacheki nakuta wamekuwa wanyonge na hivi sasa nmeshatupa vfaranga zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wana kijiji wenzangu wa jf nataka kuanza kufanya biashara juu ya vitu vya kike ndo maana naomba ushaur wenu hapa ni vitu gani wanawake wanavipenda kwa sasa na vpo kwenye fassion au hata kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo Dar nafanya kazi nimeajiriwa ,kwa sasa nina mil 2 nahitaji msaada wa biashara ya kufanya na mke wangu kwa kuanzia.Naishi maeneo ya kimara baruti na mke wangu anakaa tu home ,yeye anataka...
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Nina kiasi cha tsh. M. 8 nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza duka la nguo za akina dada na wamama kama vile magaun, skirt na blause, mikoba(handbag) pochi za mikoni , nguo za watoto pia ME na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji kupata mkopo wa sh 50,000 nifanyie jambo la msingi. Nataka kuweka rehani printer yangu yenye thamani ya sh 70,000 ambayo tokea nimeinunua game supermarket ina miezi miwili na wino upo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom