Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika. Je kiafya imekaaje haya mahindi? Wataalamu karibuni sana kuhusu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Bata wanakosa nguvu na kukaa wanashindwa kula na within a short time wanakufa. tatizo ni nini na amtibabu yake ni dawa gani?
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika Orodha hio sijataja traditional fruits kama Ovacado na Mangoes kwa sababu hayo yanapatikana kwa wingi sana na hatu import kutoka nje ya nchi. Hayo nilio yataja tuna import kwa kaisi...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari yako mwana Jamiiforum. Naomba muda wako kidogo kusoma hili wazo langu. Nina ndoto ya ufugaji wa nguruwe 10 nikiwa na malengo ya kujiajiri na biashara hii. Nimefanya utafiti na kupanga...
1 Reactions
5 Replies
962 Views
UFUGAJI WENYE TIJA HABARINI WAKUU #natumai mko njema kabisa _najua humu kuna watu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye swala la ufugaji kuku (tamu na chungu natamani sana kuanza ufugaji wa kuku ila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuchagua kati ya ufugaji wa samaki na ufugaji wa kuku inaweza kuwa ngumu kwa sababu zote zina uwezo wa kuwa na faida kubwa. Lakini unaamuaje? Huu hapa ni muhtasari wa haraka wa kukusaidia...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Nina swali kutoka dadangu in Kenya, hivi mumeanza kuvuna.
1 Reactions
2 Replies
353 Views
🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii hili jukwa limekuwa pendwa kwangu kwa maana imekuwa sehemu rahisi ya kukutana na watu wapya na wateja wapya hivyo sina budi ya kushukuru waanzilishi wa hili jukwa. TWENDE...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Habar wadau Nahitaji kujua ni kiasi gani cha hela nitatumia kama gharama za kuwalea na kuwatunza vifaranga 1000 wa kuku wa mayai mpaka kufikia hatua ya kutaga mayai.
4 Reactions
57 Replies
12K Views
🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Uko Dar unataka kufanya kilimo cha mboga mboga na huna utaalam nione Kwa no 0625537380. Kilimo chako kiwe kilimo cha kisasa, kilimo biashara yani kilimo cha kupata fedha.
1 Reactions
2 Replies
598 Views
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!. Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year. Ila kila nikikaa machale yananicheza. Page pendwa yangu ikawa tma. Yes bila...
28 Reactions
153 Replies
10K Views
Wakuu habari za leo. Kama Kuna mtu ana wazo la kulima ufuta, mahindi, kunde and the like Nina eneo la ekari 6 Kabuku. Nataka kuotesha malimao lakini apatikane mtu wa kulima masika na vuli mpaka...
0 Reactions
10 Replies
758 Views
Baking soda ni rafiki mkubwa wa bustani: Hizi hapa ni matumizi 10 ya busara ya baking soda kwenye bustani. Dawa Asilia ya Kuvu: Changanya baking soda na maji pamoja na sabuni ya maji ili...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar za mda ndugu zangu. Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana. NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa, nilizaliwa mkoani Tanga...
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Ushauri wa bure kufuatia vita ya Uchumi inayosambaa kwa kasi duniani kote
0 Reactions
13 Replies
570 Views
Je, ni utaratibu upi unaotumika kuivisha ndizi za biashara? Kuna jambo la kutatiza kiasi kuhusiana na ndizi za biashara, kawaida ndizi huchukuwa muda wa angalao siku nne kuiva, laiki uivaji wake...
1 Reactions
4 Replies
583 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…