Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mada yahusika. Huyu mtu uliyemuweka hana guts Wala haiba ya kuwatetea wakulima wadogo wa Nchi hii. 1.Mbegu fake Kila sehemu watu wa Wizara wanashirikiana na mawakala. 2.Mbolea fake na...
5 Reactions
14 Replies
318 Views
"Hili si boksi la kawaida. Ndani yake kuna mamia ya vifaranga ambao bado hawajaanguliwa." Niliposema maneno hayo mbele ya kundi la wafugaji waliokuwa wamekusanyika sokoni, baadhi walitabasamu kwa...
3 Reactions
9 Replies
300 Views
Habari wakuu, ninatarajia kufungua kiwanda kidogo cha utengenezaji wa vyakula vya mifugo hivyo nipo kwenye utafiti wa kuwatqmbua suppliers wa ingredients mbalimbali za kuchanganya kutengeneza cha...
2 Reactions
19 Replies
222 Views
Ndugu zangu habari zenu.. nahitaji maoni na ushauri katika hili. Nahitaji kununua pori walau ekari 50 niligeuze shamba mkoani morogoro; ni wilaya gani mkoani morogoro ina ardhi nzuri hasa kwa...
6 Reactions
18 Replies
581 Views
MWASENDA CHUO CHA MAABARA, KITAFUNGULIWA KWA MUHULA WA MASOMO 2014/15 KATIKA KOZI YA MEDICAL LABORATORY ASSISTANT. CHUO KIPO NYASAKA JIJINI MWANZA. MUDA WA KOZI NI MIAKA MIWILI (2). SIFA...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Ndugu wanajamvi naombeni msaada kati ya Mbolea ya NPK na CAN ipi nzuri zaidi
0 Reactions
19 Replies
43K Views
Great thinkers. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane. Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji...
20 Reactions
210 Replies
16K Views
Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA) Blobfish Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote. Blobfish Ni samaki...
14 Reactions
86 Replies
64K Views
Anonymous
Habari, Naomba kufahamu ni kwa nini ushuru wa kusafirisha mazao unatofautiana kati ya halmashauri, huku tofauti hiyo ikiwa kubwa licha ya kuwa ni zao la aina moja. Kwa mfano, kusafirisha mchele...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu naombeni anae jua kilimo Cha korosho kinaendeshwaje, bei ya korosho, jinsi ya kuongeza thamani nk
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini wadau. Nimepata kamtaji hapa ka 10m, Nina eneo la ekari mbili Mkuranga. Enyi wajuvi. Naombeni msaada kwenu. Ufugaji upi unalipa kati ya samaki sato au kuku wa kisasa? Naomba maoni yako hapa.
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Cha kwanza ambacho nataka kujua ni kuhusu ujenzi wa banda. Nahitaji banda ambalo kukubwatajua wanaishi humo mchana na usiku, lenye usalama ambalo halitavunjwa kiurahisi na wanyama kama fisi au...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Kilimo cha mjini kinakua kwa kasi, watu wanakuza mimea kama mboga za majani hadi matunda kwenye ndoo, mifuko ya cement iliyotumika na chochote chenye nafasi ya kuingia udongo. Kuna mifuko...
2 Reactions
1 Replies
158 Views
Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi" Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
7 Ufugaji wa kuku ni moja ya biashara rahisi kuanza lakini yenye faida kubwa nchini Tanzania. Kozi hii ya ChuoSmart inalenga kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha, kusimamia na kukuza...
5 Reactions
1 Replies
489 Views
Kama umekua ukihangaika kuanzisha kilimo cha tikiti maji lakini hufahamu pakuanzia, basi makala hii ni mahususi sana kwako. Nasema hivo, kwa kua nimekua nikilima matikiti kwa muda mrefu tangu...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanajamii. Ni nani aliyewaambia mtu akiwa mtumishi wa serikalini ana hela. Maana hili suala limekuwa seriously kuanzia tar 23 simu za ndugu marafiki kuomba elfu 5,10 zimekuwq nyingi sana...
1 Reactions
9 Replies
205 Views
Ufugaji wa kuku ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi zaidi nchini Tanzania. Mahitaji ya nyama ya kuku na mayai yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, migahawa, hoteli, na...
1 Reactions
3 Replies
661 Views
Karibu wanaJf, Shamba linauzwa Nzogole,Mpakani mwa Bahi na Dodoma mjini.Lina ekari 2.4,lakini nimechukulia kama ekari2! Linafaa Kwa kupima viwanja, Kulima Mtama,Alizeti,Ufuta nk . Ni ukanda pia...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…