You seem to know the stuff....mwaga hiyo elimu hapaPengine ungeanza Kwa kujiuliza hizo herufi zinamaanisha nini, ukitoka hapo ujiulize ipi inahitajika wakati gani
Mbolea zote ni nzuri inategemea uhitaji wa zao unataka kupanda, hata NPK inatoa virutubisho vitatu muhimu kwa mmea wakati CAN inatoa kimoja tu, pia NPK IPO yakupandia na yakukuzia(20:10:10) wakati CAN ni yakukuzia tu.Ndugu wanajamvi naombeni msaada kati ya Mbolea ya NPK na CAN ipi nzuri zaidi
Mkuu nataka nioteshe kitalu cha nyanya nitumie mbolea ipi kuweka kwenye kitalu kwajili ya kuotesheaMbolea zote ni nzuri inategemea uhitaji wa zao unataka kupanda, hata NPK inatoa virutubisho vitatu muhimu kwa mmea wakati CAN inatoa kimoja tu, pia NPK IPO yakupandia na yakukuzia(20:10:10) wakati CAN ni yakukuzia tu.
Samadi ungependeza zaidiMkuu nataka nioteshe kitalu cha nyanya nitumie mbolea ipi kuweka kwenye kitalu kwajili ya kuoteshea
AsanteSamadi ungependeza zaidi
Mkuu nataka nioteshe kitalu cha nyanya nitumie mbolea ipi kuweka kwenye kitalu kwajili ya kuoteshea
Ni kweli kabisa,unapotumia DAP ni vizuri zaidi kwa upande wa kupandia.tumia DAP
Tumia samadi kiongoziMkuu nataka nioteshe kitalu cha nyanya nitumie mbolea ipi kuweka kwenye kitalu kwajili ya kuoteshea
Nisaidieni.nimelima Matikiti ila hayawi makubwa.naambiwa nitafute CAN nimekosa mbolea gani nyingine nitumie badala ya Can kwa kufanya tunda liwe kubwa ?You seem to know the stuff....mwaga hiyo elimu hapa
NPK mkuuNisaidieni.nimelima Matikiti ila hayawi makubwa.naambiwa nitafute CAN nimekosa mbolea gani nyingine nitumie badala ya Can kwa kufanya tunda liwe kubwa ?
Kaka achana na hizo zingine, nitafute inbox kuna mbolea mpya tunaingiza, haina kemikali hata kidogo, imetengenezwa kwa vitu asili.. Inaitwa FALMAXI. KARIBU.Mkuu nataka nioteshe kitalu cha nyanya nitumie mbolea ipi kuweka kwenye kitalu kwajili ya kuoteshea