Naombeni kwa anaejua ni kipi bora kati ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe wa kienyeji kwa maeneo ya Kahama shinyanga. Yani kipi kinaweza kuwa kinalipa kwa uharaka kuzidi kingine?
Ahsante naomba...
Wakuu nipeni ushauri. Wilaya gani mkoa wa Mwanza inatoa mpunga wa uhakika na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo cha mpunga.
Soma pia: 60% ya mazao ya Afrika ni Ngano, Mahindi na Mpunga, japo kuna...
Habari ,
Kwa yeyote anaeweza ku supply au unamfahamu mtu mwenye uwezo wa ku supply mahindi kwa quantity kwanzia 10tons mpaka 2,000tons kwa mwezi,naomba anicheki inbox tu link up,tufanye biashara...
Habari za muda?
Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso vya miezi miwili au mmoja ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za mtu yeyote wa aliyepo Dodoma anayeuza anipatie...
Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler.
Mijini hakuna...
Nataka nianzishe biashara ya samaki kutoka kanda ya ziwa kuja Arusha na Kilimanjaro, naomba msaada wa njia za kusafirisha samaki bila kuharibika kwani mtaji wangu ni mdogo bado sijaweza kumiliki...
https://youtu.be/2w3zUtsShD0
Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja…
Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖
Hebu...
Nimeanza na ufugaji wa kuku aina ya kloiler, ninao 40, wa size tofauti tofauti. Sasa hii business nataka iwe ajira yangu,
Swali linakuja:
Je, nifanyaje, hii biashara iweze kunipa mafanikio ya...
Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya.napenda kumshukur mungu kupata nafasi hii kwenu.kwa majina naitwa dr gilliard nimebobea katika masuala ya matibabu ya wanyama..
Leo napenda...
Salaam wakuu, kwanza niwatakie mapumziko mema ya sikukuu ya Maulid.
Kama title inavyojieleza nataka tushare na wewe mbinu mbalimbali za kumfanya mbwa wako kuwa mkali zaidi na kuogofya wezi na...
Wadau nahitaji kwenda kujaribu kilimo cha nyanya chungu,vitunguu,bamia,nyanya kule rufiji(daraja la mkapa).
Naombeni ambaye ameshajaribu kulima huko atoe uzoefu ya mazao ya bustani yanayokubali...
Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na...
USHETU: WAFUGAJI KUTENGEWA MAENEO YA MALISHO HALMASHAURI YA USHETU
Serikali imeahidi kutenga maeneo maalum kwa ajili ya wafugaji katika halmasahauri ya Ushetu Wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga...
Habari zenu wadau,
Nimejaribu kulima pilipili za mwendokasi, japo nilizichelewesha kwenye kitalu lakini nimezipanda zikashika vizuri zikakutana na kiangazi zikala jua la kutosha la Dar then...
Hii ni fursa halisi kwa wale wanapenda ufugaji na kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa, hata kama wanaishi mijini au wana eneo dogo.
Kuku wa mayai mwenye lishe bora anaweza kutaga kila...
Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara...
Je, unajua ukubwa wa shamba lako? Je, umechunguza hali ya udongo unaotumia kila msimu?
Kufanya kilimo bila taarifa hizi ni sawa na kuingia kwenye giza nene bila tochi!
Leo #RubabaTV tupo...
Nipo Mbeya nafanya shughuri ya ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mwanzo mradi ulienda vizuri sana lakini nimekutana na changamoto ambayo imenifanya nianze upya.
Wazo nililonalo ni kufanya kilimo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.