Hassanmushi1993
Member
- Feb 22, 2015
- 21
- 6
Nataka nianzishe biashara ya samaki kutoka kanda ya ziwa kuja Arusha na Kilimanjaro, naomba msaada wa njia za kusafirisha samaki bila kuharibika kwani mtaji wangu ni mdogo bado sijaweza kumiliki gari kwa ajili ya kusafirishia.