Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wanabodi, Natafuta agricultural lime au kwa Kiswahili Chokaa mazao. Nitaipata wapi. Niko Dar es Salaam.
3 Reactions
41 Replies
9K Views
Kwa wale wafugaji wenzetu wa mfugo ndege aina ya Kuku hasa wa kienyeji ninaowafuga mimi huu uzi special tujadili matukio ya kushangaza na hata kufunja rekodi ila basi tu hatuyatangazi.. Mimi...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari, Bei ya Michele ipoke uko kyela ,mbalali,morogoro ,Michele unaanza kushuka Bei lini
1 Reactions
6 Replies
529 Views
Nimeshuhudia mara 2 Jamaa 2 wahudumia vizuri Sana mazao Yao Kitaalamu kabisa ila walichoambulia wakitaka kuzimia na wakacha Kilimo Hadi Leo hii. 1.Wa kwanza aliloma ekari 10 za mahindi mazao...
7 Reactions
114 Replies
5K Views
Tangu siku ya kwanza kabla hata ya kuandika code hata moja tulidhamiria kwamba Fuga lazima ijengwe kwa kusikiliza changamoto na maoni ya wafugaji wa kuku. Kila changamoto ambayo mfugaji anakutana...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo. Lakini pia uzito wao walionao...
16 Reactions
161 Replies
10K Views
Habari Wana JF! Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau ,.kama ilivo ada ni lazima watu wale,..nauliza ni nafaka zipi zenye faida na uhitaji,.. Yaani nafaka zinazouzika kwa sana,..pamoja na mikoa husika
1 Reactions
2 Replies
407 Views
πŸ¦΄πŸ“Œ Elimu kwa Wamiliki wa Mbwa – Fahamu Ugonjwa wa Otitis (Maambukizi ya Masikio) Habari za leo wapendwa wafugaji wa mbwa! Leo tunakuletea somo muhimu kuhusu ugonjwa wa Otitis – ugonjwa wa sikio...
3 Reactions
6 Replies
571 Views
--- πŸ–πŸ“Œ Elimu kwa Wafugaji – Kuhasi Nguruwe (Castration) Karibu kwenye somo letu kuhusu umuhimu wa kuhasi nguruwe dume. --- πŸ” Kuhasi ni nini? Ni mchakato wa kuondoa korodani za nguruwe dume...
2 Reactions
0 Replies
674 Views
Habari waungwana. Nawasilisha kama nilivyoulizwa ""Nina Tshs 400000 [laki nne].Ninataka nianze kufunga kuku japo sijui A wala B kuhusu ufugaji. Je nianze na kuku wa aina gani kati ya wa kienyeji...
0 Reactions
66 Replies
23K Views
--- πŸ“Œ Elimu kwa Wafugaji – Ugonjwa wa Ndigana Kali (East Coast Fever – ECF) kwa Ng’ombe --- πŸ”¬ ECF ni nini? Ni ugonjwa hatari unaowashambulia ng’ombe, husababishwa na kimelea aitwaye Theileria...
1 Reactions
0 Replies
674 Views
πŸ“Œ Faida za Kukata Mikia kwa Nguruwe (Piglets): Karibu kwenye elimu ya huduma bora kwa piglets wako. πŸ—“οΈ Muda sahihi wa kukata mikia: Siku ya 3 hadi 5 baada ya kuzaliwa. πŸ‘‰ Zoezi lifanywe mapema...
3 Reactions
0 Replies
525 Views
Tuna kila sababu ya kumpongeza Imani Lubaba, mwanzilishi wa @RubabaMedia, kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD kwenye maonesho ya East Africa Expo...
1 Reactions
0 Replies
285 Views
Habari wafugaji, Leo tutajifunza juu ya kumjua ng'ombe wako Kama yupo kwenye joto (estrus), dalili za joto kwa ng’ombe: 1. Kukubali kupandwa (standing heat): - Dalili kuu! Ng’ombe husimama...
4 Reactions
8 Replies
804 Views
Habari,Leo napenda kutoa elimu juu ya mbinu Bora za kufanikiwa kwenye mifugo yako; --- βœ… 1. Chagua Aina Bora ya Mifugo Tumia mbegu bora (high-yielding breeds) Angalia lengo lako: nyama, maziwa...
1 Reactions
3 Replies
483 Views
Sasa unaweza kujua chakula cha kuku kitakutosha kwa muda gani bila kubahatisha. Feed Tracker hukusaidia kufuatilia matumizi ya chakula kila siku kulingana na idadi na aina ya kuku. βœ… Hakuna tena...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Imekuwa ni agenda na mpango wa siri ili kuepuka vikwazo vya kimamlaka at early stage ila mpango unaenda sawa na hapa ulipo no turning back. Ni muda sasa tangu mbegu zetu za asili kupotea katika...
17 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari Wakuu? Naomba kupata mwongozo wa mazao mbalimbali ambayo hayaathiriwi na uwepo wa maji mengi katika ardhi ukiachilia mbali mazao ya mpunga na migomba. Eneo nililopata lina asili ya bonde...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…