Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

1. Afya ya udongo ni nini? Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea 2.0...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati...
46 Reactions
207 Replies
6K Views
⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya,Leo napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako ambayo husaidia kuongeza uzalishaji kwenye shamba lako la mifugo. 🔴HUDUMA ZINAZOTOLEWA: ✅...
2 Reactions
19 Replies
968 Views
--- 🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI Dalili za Nguruwe Anayeumwa --- 🔍 Unajuaje kama nguruwe anaumwa? Fuatilia dalili zifuatazo mara kwa mara: 1. 🍽️ Kukosa hamu ya kula 2. 😴 Kulala sana au kupoteza...
1 Reactions
10 Replies
602 Views
Kilimo hai endelevu Kilimo hai – kilimo kisichotumia kemikali za viwandani kama vile mbolea na dawa za kuua wadudu; hutegemea mbinu za asili. Endelevu – kilimo kinacholinda mazingira, kuendeleza...
1 Reactions
3 Replies
356 Views
nimemfanyia physicl assessment nimepata ivi Kazubaaa Hali chakula Anasingiasingia Anajitenga na kuku wengi Manyonya kuvurugika Mabawa yake yanalegea Msaada wa kitaalamu kuhusu tiba yake hasa tiba...
1 Reactions
2 Replies
291 Views
Salamu, Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake. Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
ELIMU KWA WAFUGAJI Jinsi ya Kumjua mifugo wako Aliyeshika Mimba. Dalili za Mimba kwa mifugo Haoneshi dalili za joto – Hasimami kwa dume baada ya kupandwa Matiti huongezeka taratibu – Hujiandaa...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
--- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI 🚫 Sababu Zinazofanya Mifugo Kutoshika Mimba --- 🔍 Kwa nini mnyama hapatwi mimba? Zifuatazo ni sababu kuu zinazochangia mifugo kushindwa kushika mimba: --- ❌...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning):* --- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI ✂️ Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning) --- 🔍 Dehorning ni nini? Ni zoezi la kuondoa pembe za ndama au...
2 Reactions
2 Replies
594 Views
--- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI Ugonjwa wa Anaplasmosis (Ndigana Baridi) kwa Ng’ombe --- 🔍 Utangulizi: Anaplasmosis ni ugonjwa hatari unaosababishwa na vimelea vinavyoenezwa na kupe. Husababisha...
2 Reactions
4 Replies
743 Views
AZOLLA MKOMBOZI KWA WAJASIRIAMALI – KILIMO NA UFUGAJI Ndugu Mjasiriamali Mfugaji / mkulima popote pale ulipo, jifunze jinsi ya kuzalisha azolla kwa chakula cha mifugo mbalimbali na matumizi...
2 Reactions
28 Replies
17K Views
Kama unashughulika na kilimo na unapata changamoto ya gharama za kunuanua virutubisho vya mimie shambani kwako huu hapa muongozo. Hapa kuna mwongozo wa kutengeneza Super Glow na Booster...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
--- 🐄📢 Elimu Muhimu kwa Wafugaji – Changamoto & Suluhisho! --- Mambo Yanayowakumba Wafugaji: Je, unakumbana na matatizo ya maambukizi, uzalishaji mdogo, au magonjwa ya mifugo? Je, unahisi...
3 Reactions
2 Replies
279 Views
--- 🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI Ugonjwa wa Homa ya Mapafu kwa Nguruwe (Swine Pneumonia) --- 🔍 Ugonjwa huu ni nini? Ni maradhi yanayoathiri mfumo wa upumuaji wa nguruwe. Husababisha shida ya...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo nilijisikia kutengeneza popcorn ili weekend iende vizuri, nikajivuta sokoni hapa Dar. Kwenye maduka ya nafaka. Naulizia mahindi ya popcorn naambiwa kilo moja 3500. Wananiambia mahindi ya...
7 Reactions
62 Replies
11K Views
Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nilioime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
1 Reactions
14 Replies
882 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…