Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu wafugaji, mimi ni mfugaji tangu siku nyingi zilizopita, nimejikita sana kwenye kuku wa kienyeji. hivi karibuni nilinunua mayai ya kanga nikayatotolesha pamoja na mayai ya kuku, sasa...
10 Reactions
141 Replies
10K Views
Habari wakuu, ninaweka uzi huu mfupi kukusanya uzoefu kutk watu mbalimbali, nikiwa na uzoefu wa kulima zao hili kwa zaidi ya misimu minne tofauti, na imekuwa kila msimu ninaolima nimekuwa nikianza...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Zao la kahawa limekuwepo nchini Tanzania kwa miaka mingi ni zao ambalo kwa sasa lonachagozwa na uwepo wa vijana. Ni zao ambalo likiwa linapata changamoto kwamba ukiliangalia wamiliki wa mashamba...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
WATER PUMP ZA SOLAR Je wewe ni mkulima mkubwa mwenyew heka nyingi unayetumia pesa nyingi kweny kununua mafuta kwa ajili ya water pump Tunazo water pump zinazotumia solar Join group let kupata...
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Habari zenu wana jf Naomba niende kwenye ombi langu tupeane uzoefu namna ya kuzuia nyani shambani (njia rahisi) nimejalibu kutumia sum lakini mafanikio machache sana ,naombeni msaada tafadhali
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Wanajukwaa nawasalimu nyote, napenda kufahamu Kwa yeyote mwenye uzoefu na hizi trector aina ya LOVOL kw kuangalia utendaji KAZI wake, utumiaj was mafuta, kuvumilia mazingra magumu, kupambana na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia...
5 Reactions
3 Replies
795 Views
Msimu huu wa kilimo ntakua natoa maelezo ya kitaalamu na picha live toka shambani kwa vitendo kuanzia kuaandaa shamba, kuchagua mbegu, kupanda, kuzuia wadudu na magonjwa, mbolea, kupalilia hadi...
16 Reactions
87 Replies
11K Views
--- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI ❗ ATHARI ZA NG’OMBE KULA KONDO LA NYUMA BAADA YA KUZAA --- 🔍 Tatizo ni nini? Ng’ombe kula kondo la nyuma ni hali hatari kiafya. Inaweza kusababisha: --- ❌ Madhara...
1 Reactions
2 Replies
623 Views
Jamani habari za sahizi nduguzangu, Nimepanga kuingia katika kilimo cha mpunga, kuna rafiki yangu mmoja kanambia kwa kilipo cha mpunga kahama kina lipa hasa maeneo ya Mwendakulima. Sasa swali...
1 Reactions
7 Replies
783 Views
MATUNDA MAZURI YA UVUVI WA VIZIMBA YAANZA KUONEKANA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21, lina Kata 18 zilizoko pembezoni mwa Ziwa Victoria. Kwa hiyo, uvuvi ni kazi...
1 Reactions
4 Replies
668 Views
Kumezuka Biashara ya mayai ya kware hodi hodi mpaka maofisini Biashara hi ni sawa na DECI, ama Dollar jet kwa kifupi ni PYRAMID ni utapeli wa hali ya juu. Wajasiria mali wamekuwa wakibuni njia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwenye ndege aina ya Kware wenye umri kuanzia wiki tano hadi sita anitafute kutoka mikoa ya Dodoma, Mwanza, Geita, Simiyu..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kama mtakumbuka kupitia jukwaa hili miaka miwili mitatu iliyopita tulihamasishana sana kuhusu ufugaji wa kware ili kunufaika na biaashara ya nyama na mayai. Tuliambiwa pia mayai ya kware...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji? mifugo plus tumekuletea PROMASS...
1 Reactions
1 Replies
955 Views
Habari wakuu. Katika harakati za kupata maarifa mapya mtandaoni nilikutana na hawa mbuzi (picha chini) maelezo niliyosoma kuwahusu ni kuwa; hawa ni mbizi wa nyama wanao uwezo mkubwa wa kupata...
1 Reactions
65 Replies
19K Views
Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za leo wanajukwaa. Heri ya siku ya pasaka. Najua humu kuna wataalam mbalimbali, naomba kujua kwa mkoa wa iringa je miti ya mitiki inaweza kustawi? Katika kupambana nimefanikiwa kununua...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Weka namba ya whatsapp nikutumie kitabu cha Utengenezaji wa incubator kwa njia ya kienyeji namna ya kutotolesha vifaranga nyumbani kwako Kwa kutumia plastic au box na vifaa vingine vinavyopatikana...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
--- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI ⏱️ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NG’OMBE --- 🔍 Kwa nini ni muhimu? Kupandisha kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kuepuka kurudia mara kwa mara. ---...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…