Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Ni mkoa hapa Tz una uhaba wa samaki. Wanaojuwa naomba wanifahamishe
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaam, Husika na kichwa cha habari hapo juu, aliye nazo au anajua ambae anazo ani-PM.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Dr khalfan 0752367114 Kuvimba macho huweza kusababishwa na vitu vikuu viwili Maambukizi ya bacteria Au upungufu wa vitamin A.kwenye chakula chako. Utawezaje kutofautisha????? Maambukizi ya...
4 Reactions
0 Replies
12K Views
Wadau naomba kujua Hivi kuna mdau anayevuna maji ya mvua kwa ajiri ya kilimo na ufugaji kwa upande wa bagamoyo au msata??
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kama upo Lindi au Mtwara na unayo miche ya zao la korosho ILIYOBEBESHWA nahitaji kununua mawasiliano 0683776379
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Mimi ni mhitimu wa shahada ya Agronomia ( taaluma ya udongo na vipando/mimea ) kutoka chuo kikuu cha SUA mwaka 2017 kwa performance ya upper second class( Very good) . Miongoni mwa maeneo ya...
7 Reactions
34 Replies
7K Views
kwa anaye juwa sehemu zinapo patikana mashine za mkono zinazotumika kuvuna mpunga
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Habari, wadau napenda kupata elimu zaidi juu ya zao hili la popoo mwenye elimu zaidi kuhusu hili kibiashara anipe msaada,,asante
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hawa wadudu wamekua wakinisumbua sana na wanazidi kuzaliana siku baada ya siku!...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wanakilimo wenzangu. Nyasi zimekuwa zikinisumbua sana kwenye langu la mananasi huko Bagamoyo. Kupalilia mara kwa mara ekari zaidi ya ishirini si kitu rahisi sana ukizingatia kuwa wapaliliaji...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Heloooo Natafuta mashamba ya kukodi kwa ajili ya kulima mpunga (Ifakara).....yawe na uhakika wa maji Kama unaweza nisaidia kupata au kama kuna mtu unamfaham anaweza nisaidia please naomba msaada...
0 Reactions
59 Replies
15K Views
Kama mada inavyojieleza huwa najiuliza hivi hakuna taasisi ambazo hufanya research za market za mazao yetu mana wakulima hawana information za kutosha nakumbuka zamani kahawa, pamba, mkonge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwa anayehitaji mahindi anijulishe tafadhali. Nauza mahindi nina gunia za debe sita kama 15. Anayehitaji anipe bei tufanye biashara sitaki mwembwe wala ubabaishaji.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jinsi ya kufaidika na kilimo cha mpunga na jinsi ya ulimaji kwa mtaji mdogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unapoambiwa "kama ww ni mkulima wala usibugudhiwe kwa kupitisha mazao kwenye barrier za wilaya" Mkurugenzi wa makusanyo anakwambia sisi hata gunia moja ushuru tunachukua.. ukitaka usilipe uwe na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kujulishwa wanapouza mananasi na matikiti kwa bei nzuri(bei ya shambani/sokoni) kwa hapa DSM
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Nimejaribu kuwawekea kuku wa aina nyingine mayai ya kuku kuchi lakini hayatotolewi. Nikanunua kitotoleshi (Incubator) napo mayai hayakukutotoleshwa. Msaada wa elimu... nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu anaejuwa soko la Mahindi Morogoro Naomba anijuze..nauza mahindi yangu niliyoyatunza Naona Bei hazipandi kabisa na hali ni tete
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…