Msaada: Nahitaji kujua bei ya ng'ombe kwa ajili ya kufuga.

Msaada: Nahitaji kujua bei ya ng'ombe kwa ajili ya kufuga.

Kama kichwa cha thread kinavyosema,

Nahitaji kujua bei ya ng'ombe katika soko la sasa mwenye sifa hizi hapo chini, ili nione namna ya kumpata/kuwapata.

Sifa:

Awe bado kijana (kwa jike asiwe amepandwa tayari lakini anaweza kupandwa hivi karibuni.

Asanteni.
Kwa hiyo unataka ng'ombe bikira, haya ngoja waje tuone bei ya ng'ombe bikira itakuwaje
 
Back
Top Bottom