Wadau naomba kujua Hivi kuna mdau anayevuna maji ya mvua kwa ajiri ya kilimo na ufugaji kwa upande wa bagamoyo au msata??
Hilo lambo ulidesign wewe mwenyewe?? je unaweza kunambia gharama ulizotumia na lambo hilo lina uwezo wa kubeba lita ngapi za maji??Mimi nina shamba maeneo ya horohoro lenye lambo kubwa la maji. Kuna nyumba ya room tatu na mabanda ya kuku. Maeneo ya horohoro mpakani kuelekea Mombasa Kenya. Shamba lina ukubwa wa hekari 13+.
Hilo lambo ulidesign wewe mwenyewe?? je unaweza kunambia gharama ulizotumia na lambo hilo lina uwezo wa kubeba lita ngapi za maji??
mkuu unawez kunitumia picha ya hilo shamba?Mkuu nilitumia dozer (catepillar) nilikodisha kutoka Tanroads tanga mjini. Nilichimba kwa muda wa siku 2. Bei ni juu kidogo lilinigharimbu shilingi 6.7m kwa muda wa siku tatu kwani siku moja nilitumia kusafisha visiki shambani. Sijaweza kujua ni lita ngapi lakini linapojaa msimu wa mvua huwa llinachukua miezi sita mpaka kukauka iwapo mvua haitanyesha na wakati huohuo huwa natumia water pump ya horse power 2. Nina mpango wa kuliuza hilo shamba kwani nataka kununua mashine ya kukamua alizeti. Nimejikuta nina changamoto ya mkopo ya kuweza kununua huo mtambo. Ukipenda waweza kulitembelea na kuliona tufanye biashara. Ni pembeni ya barabara kubwa ya lami kutoka Tanga kwenda Mombasa. Liko kilomita 6 kabla hujafika mpaka wa horohoro.
mkuu unawez kunitumia picha ya hilo shamba?
kila nkituma meseji znkataa wanasema nicontact na admin sijui ni jins gn y kukontct naomkuu njoo pm nitumie namba yako ya whatsapp nikurushie vitu.
kila nkituma meseji znkataa wanasema nicontact na admin sijui ni jins gn y kukontct nao
kila nkituma meseji znkataa wanasema nicontact na admin sijui ni jins gn y kukontct nao
Waone wataalamu hapo wizara ya maji na umwagiliaji kwa ushauri wa bure.Wadau naomba kujua Hivi kuna mdau anayevuna maji ya mvua kwa ajiri ya kilimo na ufugaji kwa upande wa bagamoyo au msata??
Poa mkuuWaone wataalamu hapo wizara ya maji na umwagiliaji kwa ushauri wa bure.
Asante sana, lakin mimi sihitaji shamba, jaribu kulitangaza kupitia Kupatana
ulilichimba la ukubwa gani mkuu?Mimi nina shamba maeneo ya horohoro lenye lambo kubwa la maji. Kuna nyumba ya room tatu na mabanda ya kuku. Maeneo ya horohoro mpakani kuelekea Mombasa Kenya. Shamba lina ukubwa wa hekari 13+.
ulilichimba la ukubwa gani mkuu?
Karibu Sana 0763347985/0673000103Waone wataalamu hapo wizara ya maji na umwagiliaji kwa ushauri wa bure.