Mimi ni mhitimu wa shahada ya Agronomia ( taaluma ya udongo na vipando/mimea ) kutoka chuo kikuu cha SUA mwaka 2017 kwa performance ya upper second class( Very good) .
Miongoni mwa maeneo ya kitaalam nayo-fiti ni pamoja na : matumizi ya mbolea na pembejeo nyinginezo za kilimo, sayansi ya mimea, matunzo ya shamba (kuanzia kupanda mpaka kuvuna), upimaji wa rutuba ya udongo ( maabara au shambani kwa kuangalia viashiria vya rutuba) na kutoa tathmini juu ya uzalishaji na matumizi ya udongo na maji, ubora wa mbegu na mengineyo katika kilimo cha mazao .
Kwa sasa hivi nipo Chalinze ninafanya consultancy ( ushauri) kwa wakulima nikiitwa. Natafuta wakulima wanaotaka ushauri wa kitaalam, usimamizi wa mashamba na watu wa projects ( wanaotaka kuandaliwa projects and business plans), makampuni na NGOs za kilimo nazoweza kufanya nazo kazi. Pia kuna miradi ya kilimo nimeandaa natafuta udadhili au kuelekezwa jinsi ya kuupata.
Nipo Pwani ila nitaweza kukufikia popote ulipo ( nauli ya kwenda na kurudi itakuwa yako).
Nafanya haya kwa bei ya maelewano
Contacts zangu :
Simu: 0758479731/ 0625758571
Karibuni