Zijitokeze taasisi za utafiti kuhusu bei za mazao soko la dunia kusaidia wakulima

lun

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
667
743
Kama mada inavyojieleza huwa najiuliza hivi hakuna taasisi ambazo hufanya research za market za mazao yetu mana wakulima hawana information za kutosha nakumbuka zamani kahawa, pamba, mkonge vilikuwa juu lakini baadae vikashuka kwa wakulima hususa waliochukua mikopo walifilisika mwaka huu mbaazi hazina soko tatzo wakulima wanazalisha bila kuwa na info. Kuhusu market [HASHTAG]#kilimo[/HASHTAG] bila soko ni bure#
 
Back
Top Bottom