masalu isidori
Member
- Jul 12, 2017
- 27
- 29
Kilimo cha hydroponic ni Kilimo ambacho hakitumii udongo katika upandaji wa mazao hususa mbogamboga,
Virutubisho ambavyo mmea unavipata kutoka kwenye udongo husambazwa kwa njia ya maji yenye mchanganyiko wa virutubisho ambayo hujulikana kama hydroponic nutrient solution
Virutubisho hivyo hupatikana kwa mawakala wa hydroponic lakini mtu binafsi naye anaweza kutengeneza mchanganyiko wake wa hydroponic kwa kutumia mbolea ambazo zina yeyuka kwenye maji yaani water soluble fertilizer ila inabidi kuzingatia mbolea itumikayo ni ile yenye virutubisho vinavyotakiwa kama phosphorus potassium nitrogen magnesium calcium Na zinc
Hii itamsaidia mkulima kupunguza gharama za uzalishaji pia Mkulina anaweza akajifunza kupitia njia hii mfano upungufu wa kirutubisho flani unasababisha tatizo flani
Kilimo hichi cha hydroponic ni Kilimo ambacho kinauepusha mmea zidi ya magonjwa yatokanayo Na udongo pia kinaondoa gharama za upaliliaji kwa Mkulina Na kutoa mavuno yaliyobora Na mengi
Kuna mifumo mbalimbali usambazaji wa nutrient hizo kwenye mmea kama kutumia Kilimo cha umwagiliaji hasa drip irrigation pia kuna mifumo mingine kama kuloweka mizizi ya mimea katika maji yenye nutrient au kupitisha maji yenye virutubisho kwa muda maalumu hii unaweza kuifanya kwa kupata mazao kwenye bomba kwa kulitoboa matundu bomba hilo Na kupanda mazao yako kwenye matundu
Uzalishaji wa miche ya hydroponic hautumii udongo pia miche hukuzwa kwenye trey za kukuzia miche kwa kutumia maozea ya mabaki ya minazo au mabaki ya pamba au kutumia kitu kingine kwaajili ya kukuzia kama udongo kwa kingereza huitwa growing media Na miche inapofikia hatua ya kupandwa inabidi ihamishwe kwenda kupanda hii ni kwa wakulima wa mbogamboga
Kwa hydroponic fodder yaani chakula cha mifugo mbegu za shayiri hutumika ambapo hupandwa katika trey maalumu za aluminium mpaka zinapofikia hatua ya kuvunwa kwaajili ya kiwapa wanyama