Nikiwa mkulima mchanga wa tikiti nimejifunza vitu vingi ambavyo naona leo si vibaya nikashare kwenu
1.Uchawi
amini usiamini uchawi upo kwenye kilimo nimeamini hivyo baaada ya wakulima wenzangu...
Katika kauchunguzi kangu kadogo nimegundua watu wengi wanalazimisha kilimo kwenye ardhi ya bagamoyo wakati sio rafiki kwa kilimo,watu wamesahau upande huu wa Mkuranga,Kimanzi na Rufiji ambapo pana...
Naomba kujua ni chuo gani ama mahali gani nitapata kozi za muda mfupi kujifunza innovations hasa fabrication za mashine mbalimbali zinazohusiana na kilimo na mifugo?
Wakuu kwanza salamu ndiyo utanzania wenyewe... Popote ulipo nakusalimu.
Back to the topic
Kwa wenyeji wa Mahenge wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro naomba mnisaidie hii kwa mtu mwenye experience...
Habari za pilika wanaharakati ,poleni Na mapambano ,.naomba kufahamu mambo matatu kuhusiana Na tractor
1. Naomba kujua ni tractor Bora Na imara kwa Kilimo.
2. Gharama ya tractor kwa hapa tanzania...
habari za mida marafiki natumini ni wazima bc tumshuru mungu na hatujalie afya nzuri.
Masada wenu
mim ni mkulima mdogo wa mboga mboga nina muda wa mwaka mmoja sas nataka kulima nyanya mungu...
Ni kuku wa aina gani wanakuwa vyema na kuvumilia magonjwa kati ya Sasso, Kroiler na Israeli?
Kama kuna aina nyingine naomba mnijulishe ili nianze rasmi ufugaji wa kuku.
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri...
Habari wana JF. Naomba kufahamu kwa anayejua matumizi ya mashudu ya alizeti zaidi ya kutengenezachakula cha wanyama. Soko la ujakika la hii bidhaa linapatikana wapi
Hali ni mbaya sana!
Licha ya uchumi wa watanzania wengi kutegemea kilimo cha kutegemea neema za Mwenyezi Mungu kupata riziki zao lakini bado hali ya masoko imekuwa mbovu sana.
Katika hali ya...
Habari wanajamii wafugaji wa kuku wa kienyeji,
Nimepata dharura baada ya kuku wangu kuwaona wakichechemea,kutokana na kuku hao kufugwa suria na mahali wapo pana pitapitaza watu,mifugo. yupo kuku...
Salaamu,
Toka awamu hii iingie madarakani wamezuia Vifaranga/ LAYERS toka Kenya.
Sababu kubwa wakisema kuzuia magonjwa ya Ndege, lakini ukweli ni kwamba huko Kenya [emoji1139] hakuna sehemu...
Disk Drilling Cracks will help you find lost data. It saves you important time by finding your lost data, not only from your PC, but also from external drives. More than 20 million downloads made...
Kwanza kabisa uwekaji wa samaki kwenye bwawa huwa Ni kwa idadi maalumu kwa kawaida.
Kitaalamu,mita 1 ya mraba unaweza kupandikiza samaki kuanzia 3-5,6-10,11-15,16-30,kwamfano bwawa likiwa la mita...
Sote tunafuga kuku ili kupata mayai au nyama kutoka kwa kuku hao,lakini mtafaruku hutokea pale kuku hao wanapoacha kula chakula na kuamua kulana wao kwa wao au kula mayai kabisa.kama ulishawahi...
Wakuu habarini za asubuhi Nina Kuku wangu tetea alitaga mzao Wa kwanza mayai 8 akakataa kuyatamia
Ilipofika muda Wa kutaga mzao wake Wa pili alianza kutetea kwa kasi sana na akitaka kutaga...
Habari ya mchana ndugu zangu. Nimekuwa nikitembea katika mitandao kutafiti kilimo cha machungwa.
Huko Kenya nimeona kuna mbegu ya Africa kusini wameitumia inafanya vizuri inaitwa CLANOR. Je...
Neno Nidhamu lina maana kubwa sana katika safari yoyote ile ya mtu ya kukimbilia katika maisha ya mafanikio makubwa anayoyataka hapa duniani. Kama unahitaji kuwa bora na mwenye mafanikio mazuri...