Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

🟩 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE NA MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA 🐄 --- ✅ MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA Ng’ombe hukaushwa wiki 8 (siku 60) kabla ya kuzaa. Huu ni muda unaotosha kumpumzisha na kujiandaa kwa...
4 Reactions
9 Replies
835 Views
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia...
25 Reactions
399 Replies
264K Views
Kama wafugaji tunataka: Pesa zaidi, stress kidogo. Muda zaidi, usumbufu kidogo. Uhuru zaidi, mashaka kidogo. Hapo ndipo Fuga App inapokusaidia. Inakusaidia kupanga gharama, kufuatilia ratiba...
1 Reactions
3 Replies
334 Views
Jamani habarini tena! Napenda kusaidiwa kwa wazoefu juu ya hili jambo, je eneo la robo ekari linatosha kwa kuanzia UFUGAJI WA NGURUWE.?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Anonymous
Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa. Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya Leo napenda kuwaletea kuhusu elimu ya kukata meno kwa nguruwe --- 📌 Elimu kwa Wafugaji – Faida za Kukata Meno kwa Nguruwe (Piglet) Karibu sana...
2 Reactions
2 Replies
563 Views
Unataka kufuga kwa faida kubwa lakini changamoto zimekuwa nyingi? 👉🏾 Chakula cha mifugo ni gharama, magonjwa yamekuwa kikwazo, au hujui ujenzi sahihi wa banda/bwawa? Sasa ni muda wa kubadilisha...
2 Reactions
13 Replies
674 Views
Ni kwa zaidi ya miezi sita sasa namba za huduma kwa wateja za TARI za kanda zote hazipatikani. Pili website ya TARI kuto-update uwepo wa mbegu mpya unaweza ukakuta mbegu mpya kwenye PDF ila kwenye...
3 Reactions
2 Replies
393 Views
Unajua? Njia ya matone ya macho ni moja ya njia bora zaidi kulinda vifaranga wako dhidi ya kideri (Newcastle Disease) — ugonjwa hatari unaoweza kuua hadi asilimia 90% ya kuku wako. Kwa nini...
0 Reactions
2 Replies
432 Views
ZIFUATAZO NI MBINU ZA ASILII ZA KUPAMBANA NA WADUDU KWENYE MIMEA. 1.PILIPILI KALI Hii ni Moja ya dawa asili ambazo zimekuwa zikitumika na kuleta matokeo Mazuri sana. JINSI YA KUTENGENEZA...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Mdau wa Mtandao wa X zamani Twitter, kwa jina Swed Junior, aliibua swali la kuvutia kwenye mtandao: "Kwa nini watu wanawekaga mawe juu ya matikiti wakiwa shambani?" Swali hili lilivuta hisia na...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha...
3 Reactions
3 Replies
824 Views
FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE KILIMO Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana. Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato kizuri kupitia ufugaji wa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa madalali mliopo Mwanza ,bei ya chungwa sokoni ni sh ngapi,nataka kuleta mzigo
3 Reactions
3 Replies
326 Views
Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvini, Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga. Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana...
3 Reactions
758 Replies
352K Views
KILIMO BORA CHA UFUTA Ufuta (sesamum indicum) ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya...
22 Reactions
730 Replies
368K Views
Jana niliwasilisha mkusanyiko wa mada zinazohusu ufugaji wa kuku.. Leo naomba niweke mkusanyiko wa mada za kilimo.. nimeamua kufanya hivi ili kusaidia wale ambao ni wanachama wapya na wanachama...
10 Reactions
165 Replies
139K Views
Ninamshukuru Mungu kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza wa Wazalishaji na Wasindikaji Mazao ya Nyuki kwenye Maonesho ya Nanenane 2025 Kanda ya Ziwa Magharibi yaliyofanyika Nyamhongolo, Mwanza. Hakika...
21 Reactions
44 Replies
2K Views
Mwenye kujua huu ugonjwa wa kuku kifaranga kuvimba miguu anisaidie kujua aina ya ugonjwa na dawa yake.
1 Reactions
7 Replies
588 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…