Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau Wasalam. Nimeambiwa na Rafiki yangu kuwa Mkoani Morogogoro wapo samaki wakubwa sana kuliko wale wa Ziwa Victoria! Akadai kuwa Samaki hao wanasifa zifuatazo: (1) Wakubwa sana kuliko Sato na...
2 Reactions
104 Replies
17K Views
Wakuu habari za maisha na mapambano ya maisha kwa ujumla? Poleni kwa Corona na uhaba wa sukari. Msaada kwa yeyote mtaalamu wa kilimo hasa cha green house na hiki kilimo cha kisasa cha hydroponic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, Naomba ushauri juu ya kilimo cha chinese. Nimeaza na matuta machache ila nina plan ya kujiongeza nifikie kulima at least nusu mpk eka moja ya chinese tu. Wasiwasi wangu ni...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Nahitaji kusafirisha machinery equipment kutoka USA kwenda Tanzania, kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia usafiri wa majini kutuma vitu bongo? Ni kampuni ipi wanashiping conterner?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu zangu, Mimi ninaishi Kisarawe Pwani nimejiajiri kwa sasa lakini pia nimeajiri vijana wenzangu 8. Sasa ukitoa mambo mengine kuna sehemu nachimbia 10, 000 kila siku kwa madhumuni ya kuwa...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Wasalamu Wanajukwaa Tuache propaganda corona inauwa tujilinde Kama kichwa kinavyosema. Nahitaji mahindi kwa gunia moja 30000-45000 mkoa kati ya Kilimanjaro au Arusha.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habair ndugu jamaa na marafiki kijana mwezenu nipo mbele yenu nina shida kubwa sana inanitatiza mimi ninaishi Dar nataka kulima kilimo cha mbogamboga na matunda changamoto ni pots au vikopo vya...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Naomba msaada wa ramani za ujenzi wa banda la kuku wa kisasa na kienyeji kwa aliye nayo.
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Wanajamvi nimekuwa mfugaji wa ng'ombe wa maziwa wa kuchunga kwa miaka kama 10. Hata hivyo nimepata changamoto zake hasa upande wa magonjwa na kesi za majirani kila wakati. Pia wezi wanathaminisha...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika hotuba ya Mhe. Rais leo anasema watu wake walipenyeza sampuli za mapapai na mafenesi katika maabara ya Vipimo vya COVID-19. Ikagundulika vina Corona. Hali hii inaweza kuleta athari mbaya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za mdaa huu wakuu. Najipanga kununua trekta kwa ajili ya kilimo hivyo basi naomba wale wenye uziefu na matrekta mnipe ushauri wa ipi trekta bora kati ya new Holland na John Deere...
2 Reactions
30 Replies
18K Views
Kwa formular nyingine za chakula cha kuku waweza ni PM tukazungumza friendly bila tatizo. Maana kila formular moja ya chakula cha kuku iko na option 4. (Hapo juu ni option moja wapo ya broiler...
3 Reactions
22 Replies
23K Views
Hello JF members! Natoa shukrani za dhati kwa hili jukwaa. Ni kwa namna nyingi nimenufaika nalo. kwa wale wanaotaka kujifunza kutengeneza mkaa nimewaanzishia huu uzi. Najua wapo walioamua kuuza...
5 Reactions
29 Replies
25K Views
SASSO, ni aina ya Kuku na vile vile ni Brand name ya kampuni kubwa kabisa ya kuku wa SASSO iiyopo Ufaransa na SASSO walianzia huko Ufaransa mwakma 1978 SASSO ni free range chicken yaani ni kuku...
6 Reactions
32 Replies
50K Views
Habari zenu Mimi ni msichana na Mkulima mchanga nipo Mkoa wa Kilimanjaro. Ni mwaka wa pili sasa tangu nimeanza kilimo. Naomba mniunganishe la group la wakulima wenzangu kutoka Kilimanjaro au...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Habarini wadau, Ninaomba kuuliza MWANI ni zao gani maana nimeanza kulisikia muda na wanalitumia kwanini, ni kwa chakula au nini? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
20 Replies
18K Views
Mara nyingi kutokana na namna ya maisha na katika kupambana na gharama za maisha watu wamekuwa wanahangaika kutafuta namna ya kuzungusha pesa zao hasa katika njia zenye matokeo yenye mrejesho wa...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimepanda mahindi yangu na mwanzo nilipambana na viwavi jeshi. Sasa huyu ndege analeta madharau. Je, nimmalizie au Kigwangala atakuja juu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Pia nitashukuru nikipata bei zake kwa kilo moja inasimama bei gani nahitaji kilo 300 kuja juu... ahsante
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habarini ndugu zangu natumai mko vyema na majukumu yenu ya kila Siku ya maisha. Ningependa kutumia nafasi hii kupewa elimu juu ya kilimo cha mahindi. Swala langu limejikita sana katika kufahamu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…