Kamera yangu haipigi vzr mkuu.weka picha.
Pole sana. Hapo inakuwa ngumu kupata ushauri. Jaribu kuelezea vizur,Kamera yangu haipigi vzr mkuu.
Mkuu pitia huu uzi kuna utaalamu kilimomaarifa.tajiri amemwaga humo,magonjwa kama yako yamezungumziwa pia, nadhani kuna booster ya maua inayohitajika hapoNyanya zangu zinaanza kutoa maua lakini yananyauka,je zinaweza kuwa na dalili za ugonjwa gani?naomba msaada kwa wanaolewa tatizo hili.
Maua ndiyo yanayo nyauka miche iko vizuri, shamba langu siyo la kumwagilia nimepanda kwa mvua na linaendelea hivyo hivyo.
Kaka vipi??Mkuu pitia huu uzi kuna utaalamu kilimomaarifa.tajiri amemwaga humo,magonjwa kama yako yamezungumziwa pia, nadhani kuna booster ya maua inayohitajika hapo
Msaada: Nyanya zangu zinaanza kutoa maua lakini yananyauka
VIP HALI MTAALAM NAOMBA MSAADA WAKO NYANYA ZANGU ZINATOA MAUA LAKINI YANAPUKUTIKA ILA MAJANI YAPO VYEMA KABISA NDANI YA MAUA KUNA WADUDU WENGI WADOGO WEUSI NAONA KAMA WANARUKA PIA... NAOMBA MSAADA NI DAWA GANI KIBOKO YA KUWAMALIZAPole mkuuu,kama mche Na shina kwa ujumla viko salama, na majani hayana tatizo basi hao Nni wadudu amphids au thrips ndio huwa wanashambulia Maua,hufyonza MAJI Na kula Maua hivyo Maua hukauka Na kusinyaa. Chunguza vyema fungua ua moja uone kama ndani kuna wadudu weusi hivi au funza. Tafuta DAWA zenye harufu kali kama Dume,au dimethoate,au karate, dimethe,au dume kwa kuwa hizi DAWA NI kali sumu daraja LA pili,basi kabla ya kuzipiga mwagia MAJI kwanza mengi sana shambani na spray ml 10 tu za DAWA kwa MAJI Lita 15.Puliza DAWA asubuhi sana au jioni, kila wiki puliza hizi DAWA Mara moja lakini kuepuka usugu wa wadudu spray hizi DAWA ukipishanisha Na DAWA zenye kiambata/ sumu ya profenovos au abamectin. Kila lakheri