Msaada: Mayai ya kienyeji kwa ajili ya kuatamiwa yanaharibika sana sehemu yenye joto kali

chrisman49

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
351
77
Habari wataalamu,

Naomba kujua kama kuna namna bora kabisa ya kufanya mayai yasiharibike kwa maeneo yenye joto kali kama Dar es Salaam wakati wa kuatamiwa.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yameatamiwa yataharibikaje? Temperature ya yai kuhatch ni nyuzi joto 35 paka 40.5 za C, sasa joto la dar linazidi 40?
Shida ni hao kuku wako sio joto, kuku kuatamia mayai anahitaji akili ya ziada kuyalea kama kuku hana hiyo akili mayai lazima yaharibike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yameatamiwa yataharibikaje?? Temperature ya yai kuhatch ni nyuzi joto 35 paka 40.5 za C, sasa joto la dar linazidi 40?
Shida ni hao kuku wako sio joto, kuku kuatamia mayai anahitaji akili ya ziada kuyalea kama kuku hana hiyo akili mayai lazima yaharibike.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaatamia 10 vimetoka viwili tu mkuu,mengine yameharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom