Zaidi ya Wafugaji 1,000 wa Kuku wanatuamini

Zaidi ya Wafugaji 1,000 wa Kuku wanatuamini

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
209
Reaction score
247
Thank you 1000 Downloads SW Post_20251008_101802_0000.png

⭐Tunashukuru Sana kwa kutumia Fuga App!🎉

Kwa kila mfugaji, rafiki na mshirika ambaye amekuwa sehemu ya safari hii kwa kutumia au kuitangaza Fuga App - asante sana.

Imani yenu, maoni yenu, na hadithi zenu za kila siku ndizo zinatupa nguvu ya kuendelea kuboresha na kuwahudumia vizuri zaidi.

Tangu mwanzo, mpango wetu umekua rahisi - kufanya
ufugaji wa kuku kuwa rahisi, wa kisasa, na wenye faida. Kupata zaidi ya downloads 1,000 na kusikia mafanikio yenu ni kumbukumbu tosha ya kwa nini tulianza.

Hii siyo app tu - ni jamii iliyojengwa na wafugaji kwa ajili ya wafugaji.Tuzidi kukua pamoja🫶🏾💚
 
Hujaelezea fuga app ni nini na inafanyaje kazi
Fuga ni app inayokusaidia kusimamia shamba lako la kuku,kiurahisi zaidi.
Inakupa ratiba ya Chakula (cha asubuhi na jioni) kila siku,inakukumbusha Chanjo kupitia sms za kawaida na inakuonesha chanjo ni lini ili usisahau, inakusaidia kurekodi kumbukumbu zako zote za shambani,inakusaidia kujua gharama ya kuku mmoja ili ujue unamuuza kwa shngapi,inakusaidia kujua kama unatengeneza faida au hasara,inakusaidia kujua chakula kinaisha lini na mambo mengine mengi


Kwa sasa Fuga App ni bure kabsa na inapatikana Playstore [Fuga - Apps on Google Play]


Pia kwa toleo hili jipya,ukialika marafiki zako 10 ku download Fuga app,utapata zawadi ya Kipima joto na mizani
 
Back
Top Bottom