Wadau vifaranga wangu wanaumwa midomo na macho! Inaanza kwa kutokea manundu manundu hadi yanaziba macho kama muonavyo! Naomba kujuzwa huo ni ugonjwa gani? Dawa za kuutibu ni zipi!
Habari wakuu, kaa kichwa kinavyosema, swali langu ni hii, je ni mikoa gani ambayo unaweza pata mbuzi wengi zaidi, na ngombe wa kununua, yaani kwa ufupi ni mikoa a wilaga gani zina mbuzi na ngombe...
Habarini wanandugu wa JamiiForums nimekuwa nizifwatilia mvua za msimu huu kama mjuavyo kwa ajili ya kilimo lakini inashangaza sana kwani hazieleweki.
Kama huku Arusha yapata siku 4 mvua...
Habari wadau,
Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo.
Lengo ni hasa...
Hii wizara inangoja nini kutoa mwongozo wa zao la choroko kuhusu bei maana imekua kimya alimanusura tupo Afghanstan.
Waziri husika embu changamka sio mpaka Rais Samia afanye kila jambo.
NB...
Kwa yyote aaehitaji Blog ya biashara, Binafsi tunatengeneza kwa being nafuu sana pia kwa yyote anaetaka blog yake kubadili kuwa na professional looking tupo kwa ajili yako.
Badili blog yako...
Habarini ndugu wa JF,
Tupeane mawazo hapa kwenye hii mada tafadhali. Kwann jamii zetu nyingi zinashindwa kuzalisha ng'ombe nyama wa kutosha? Je, tuchukue hatua gani maana ng'ombe nyama wanalipa...
Ngombe wangu anakohoa kwa muda mrefu sasa. Nilimtibu kwa penstrep àkawa Kama amepona. Sasa vimerudi.
Tena nywele za mgongoni zimesimama. Ni tatizo gani na matibabu yake Ni Nini.
Msaada tafadhali
Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo.
NB...
Ndugu wasomaji, natamani na nahitaji niingie kwenye kilimo Cha maharage, nipo Njombe, ni Aina ipi inafaa saana hasa yenye Bei nzuri na mavuno mazuri niitumie?
Kuku wangu ana wiki na nusu sasa anasumbuliwa na huo ugonjwa ambao bado sijajua ni ugonjwa gani. Kiukweli,
anakohoa na kupiga chafya halafu ukimsikilizia kwa muda flani hivi unasikia kama...
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu,
Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe.
Natunguliza shukurani,
Thnx.
Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500.
Naomba msaada mwenye kujua...
Wafugaji wengi hufanya makosa makubwa sana ya kuanza kujenga banda na hatimae kuanza kufuga, bila kuwaza namna ya kutengeneza chakula mwenyewe.
Bila kuwa na chakula chako mwenyewe, mifugo inatesa...
Waungwana habari ya mchana huu,
Ni matumaini yangu mnaendelea vizur na majukumu yenu ya kila siku kama kichwa kinavyojieleza Hapo juu natafuta hiyo dawa kwa ajili ya kuua magugu kwa bei ya jumla...
BUNDI ni ndege mwenye sura inayotisha kidogo kulinganisha na ndege wengine hasa kutokana na kuwa na uso mkubwa wa mviringo, macho makubwa ya mviringo na masikio makubwa.
Unaweza kusema ndege huyu...
Haya ni matunda ambayo yanapatikana sana Asia na pia America,
Ni matunda ambayo yana ladha kati kati ya pears na Kiwi Kwa wale waliowahi kula Kiwi fruit.
Haya matunda ni ghali sana na kuna...
Wafugaji wenzangu leo naomba tupeane uzoefu kuhusu biashara ya utotoleshaji vifaranga vya kuku, utaratibu upoje na bei zake zipoje.
1. Analipia kila yai analoleta au kwa kila kifaranga...
Naonaga watu wengi sana wanalalamika wameambiwa wafuge sungura na mwisho wa siku wanao wahamasisha wanaingia mitini.
Ufugaji wa Sungura ni kwamba wafugani wameshindwa ku tengeneza demand...