Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Tunauza iliki, karafuu na pilipili manga tupo Muheza tanga pia tuna Vanilla safi na bora ipo Bukoba 0786360818 na 0714729550
0 Reactions
5 Replies
1K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU KILIMO HIKI: Mwenye kufahamu ufanisi wa hiki kilimo atujuze mambo yafuatayo: 1) Mbegu bora zinapatikana wapi? 2) Zinachukua muda gani kukomaa? 3)...
4 Reactions
152 Replies
136K Views
Maharage ni miongoni mwa nafaka zinazotumika sana Tanzania, tafsri yake soko lake lipo, kuna aina nyingi za maaharage, lakini maharage maarufu na yenye soko ni maharage ya njano, ni mikoa gani na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Tanganyika ilikuwa eneo la kilimo katika utawala wa Uingereza. Walitangaza uwekezaji katika kilimo na waliopenda kuwekeza iliwapasa kuonyonyesha uwezo wao wa kuiendeleza ardhi kabla ya kupatiwa...
1 Reactions
1 Replies
918 Views
Jifunze Urban Gardening, tumia eneo dogo, rasilimali zinazopatikana kwenye mazingira unayoishi kujipatia mbogamboga, matunda na tiba zisizokuwa na kemikali za viwandani. Tumia mbolea za asili...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mdau wa kilimo na ufugaji, sisi MDI, tumejitoa kufuatilia tafiti mbalimbali na kuzifanyia kazi, Kisha kuwafundisha wengine. Haya ndo Mambo tunayoshughulika nayo kwa Sasa 1. Kilimo bila udongo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MWONGOZO BORA WA KUKU WA MAYAI Utangulizi Kuku wa mayai wanafaida kubwa iwapo utawalea na kuwatunza vizuri. Kwa kawaida kuku anaekaribia kutaga (pullets) wanatakiwa kuwa na mifupa na misuli...
7 Reactions
43 Replies
19K Views
Mwenye kufahamu tiba ya hii kitu asaidie wadau. Huu ni ugonjwa ambao husumbua sana kwenye migomba na baadhi ya miti.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu. Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria. Ripoti ya...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Kabla haujaamua kuingia katika kilimo cha biashara inakupasa kwanza ufahamu mambo muhimu ambayo yatakusaidia katika shughuri yako ya kilimo husika.Kwani yakupasa kutambua kila kazi ya kuingiza...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana jamvi ? Naomba msaada kwa anae fahamu dawa nzuri ya kuongeza uzito kwa kuku wa nyama! Nina kuku zangu zina mwezi sasa ila hazina uzito kabisa. Nawasilisha kwenu wana jamvi.
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Habarini, Nimelima tikiti zinatambaa sasa, nilishawahi kuli a mara kadhaa na nikavuna. Changamoto iliyopo inayonifanya niombe ushauri kwenu ni kwamba tikiti zinapoanza kukomaa Kuna viumbe aina...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Wale wanaohitaji kuzielewa power tiller karibuni. Uzi huu utatumika kujibu maswali na majibu ya wadau ambao wamekua wakiniuliza mara kwa mara. Kuna aina kuu mbili za power tiller yaani Long hand...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wakuu,,, Naomba kuuliza wenye uzoefu na biashara za kuku, ni biashara ipi inalipa zaidi kati ya ufugaji wa kuku wa mayai au kuku wa nyama?? Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
34 Replies
15K Views
Habari za leo wakuu, kichwa cha habari kinajieleza...nina ile fensi ya yebo yebo sasa kuna wale wadudu weupe(white flies) wamekuwa kero sana.. Nimetumia duduba na inaua sema ni kama imewazoea na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wna bodi Wiki iliyopita nilikua na ziara yangu binafsi katika baadhi ya vijiji vya mkoa wa Iringa. Nimejionea mashamba makubwa ya mahindi yanamwagiliwa kwa mitambo. Kwa sasa wenyeji...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Salute kwenu mabibi na mabwana. Mafanikio makubwa huja kwa ku-take risk kubwa vilevile. Ukikosa unakosa kweli unaweza usirudie tena lakini mzigo ukitiki unatoboa kweli kweli. Sasa mpango mzima...
19 Reactions
127 Replies
35K Views
Kati ya Massey, Swaraj na New Holland ipi ni bora na yenye nguvu zaidi?
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Back
Top Bottom