Kuku kukohoa na kupiga chafya

Mp steve

Member
Feb 28, 2019
26
45
Kuku wangu ana wiki na nusu sasa anasumbuliwa na huo ugonjwa ambao bado sijajua ni ugonjwa gani. Kiukweli,
anakohoa na kupiga chafya halafu ukimsikilizia kwa muda flani hivi unasikia kama anakoroma ndani ya mwili wake.

Kwa anaejua huu ni ugonjwa gani naomba msaada, pamoja na matibabu yake na kinga kiujumla..

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 

rolla

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,181
2,000
kuku wangu ana wiki na nusu sas anasumbuliwa na huo ugonjwa ambao bado sijajua ni ugonjwa gan kiukweli,
anakohoa na kupiga chafya alafu ukimsikilizia kwa muda flan hiv unasikia kama anakoloma ndan ya mwili wake..
kwa anaejua huu ni ugonjwa gan naomba msaada pamoja na matibabu yake na kinga kiujumla..

asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafua makali (corzya)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,083
2,000
Dawa nzuri Sana ya kutibu mafua ya kuku ,ila kwenye ngozi ya binadamu inawasha sana
IMG_20190314_082652_0.jpeg
View attachment 1045779
IMG_20190314_082208_2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom