Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Imam aliyemwoa mwanamume mwenzake akidhani ni mwanamke amefutwa kazi na baraza kuu la Waislamu Uganda. Huku mjadala kuhusu kama kweli alifahamu jinsia ya bi harusi wake wiki mbili zilizopita...
3 Reactions
133 Replies
15K Views
Watu wawili wamethibitishwa kufa baada ya ndege ya jeshi la watu wa Uganda kuanguka katika mji wa Gomba. Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Uganda, Brigedia Brigedia Richard Karemire...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Uganda's President Yoweri Museveni is in London this week to attend the UK-Africa Investment Summit 2020. The event was hosted by British Prime Minister Boris Johnson who told the attending 16...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Mamlaka ya Mapato nchini Uganda (URA), imemkamata Duach Toang, Raia wa Sudan Kusini, akiwa na karatasi zenye usawa wa dola na kemikali ambayo ukiimwaga, karatasi hizo hubadilika na kuwa dola...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Bwana Richard Tumushabe, mtu aliyejifanya mwanamke na kuolewa na Imam Mohammed Mutumba, amewaomba Waganda wasimhukumu kwa matendo hayo Tumushabe alisema alilazimika kuuza mwili wake kwenye mitaa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Charles Minaani(33), mkazi wa Luweero, Uganda atatumikia kifungo cha miaka 13 jela, hii ni baada ya kuongea na jaji kuhusu mashtaka yake ya kunajisi na kumpa mimba mwanae wa miaka 12, kosa ambalo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je umewahi kusikia vijambo (ushuzi) ni dawa .. Joe Rwamirama mwenye umri wa miaka 48,kutoka Kampala nchini Uganda ndio pekee ambaye akijamba au kutoa ushuzi unaua mbu..aliwahai kuajiriwa na...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Mwanamke mmoja katika wilaya ya Hoima mashariki mwa Uganda anashikiliwa kwa madai ya kumuua mpenzi wake baada ya kumfuma akimeza dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV) Polisi...
1 Reactions
6 Replies
44K Views
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50 kutoka wilaya ya Budaka mashariki mwa Uganda, amemjeruhi mke wake vibaya baada ya mwanamke huyo kumchinja kuku aliyetakiwa kufanywa kitoweo kwenye siku kuu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Congratulation to "Sharon Mbabazi"Ugandan sister who has been laying Bricks to pay her University Tuition, she has graduated with degree in Communication 🇺🇬 Source:AfricanUpdates ======...
19 Reactions
71 Replies
9K Views
Jamaa mmoja nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Ismail Dholaga mwenye miaka 35, amelazimika kunywa lita moja na nusu ya mikojo ya wanawake ili kurejesha fahamu baada ya kulewa tilalila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki. Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Uganda deports Yvonne Chaka Chaka for lack of work visa "The ordinary visa cannot enable her to perform in any income-generating activity within the country. This has been done by immigration...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Maafisa wa polisi nchini Uganda, wamemkamata mwanamke mmoja aliyekuwa akivuka mpaka wa nchi hiyo kutokea nchini Congo, akiwa amebeba vipodozi haramu alivyokuwa amevifungasha na kuvivalisha kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Police in Uganda have arrested People Power movement leader Robert Kyagulanyi Ssentamu, popularly known as Bobi Wine, and several leaders of the group. The Monday arrest was effected as police...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Rwanda ilikuwa eneo penye utawala wa kifalme tangu karne ya 16 BK kabla ya kufika kwa ukoloni. Mwanzo wake ni katika eneo la Ziwa la Muhazi. Watawala wenye cheo cha "mwami" kutoka kikundi cha...
23 Reactions
325 Replies
48K Views
Sekta ya biashara nchini Uganda imepata pigo kubwa sana mwaka huu kwa kuandikisha upungufu wa shilingi trilioni 3.4. Hii inatokana na mizozo ya kibiashara na mataifa jirani. Kwa mujibu wa ripoti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inaelezwa kuwa Mganda mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na raia wa Kongo kwa watu wa Uganda. Shambulio hilo lilitokea katika Soko la Nziapande, ambalo lipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi wilayani Bududa wanamshikilia mwanamke mwenye umri wa miaka 47 anayedaiwa kumuua mumewe. Inaelezwa kuwa Mwanamke huyo alimchoma kisu mume wake Bw. Jabi Wekoye hadi kufa, kufuatia ugomvi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A meeting between Uganda and Rwanda that should have taken place on October 17 as a follow up to the September 16 one in Kigali to ease tension between the neighbouring countries is scheduled to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom