Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Mwanaharakati Stella Nyanzi aliyefungwa akielezwa kuwa alimtukana Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameachiwa huru huku Jaji akieleza kuwa alifungwa kimakosa Msemaji wa Magereza, Frank Baine...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Huko nchini Uganda kuna mama mmoja ambaye amezaa watoto 44 akiwa na mume mmoja ambapo mwanaume huyo baadaye alikiimbia familia hiyo na kumuacha mama huyo akiendelea kuitunza familia. Mama huyo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mchungaji Florence Lanyero, wa kanisa la Rest Arena lilipo Gulu, amekamatwa nyumbani kwake Februari 23, kwa kumiliki sare za jeshi na vifaa vingine vya kijeshi Jimmy Patrick Okema, msemaji wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Muhwezi Benson and Akankwasa Sophie Wamedai fidia ya Tsh milioni 376 kwa kanisa la ‘Church of Uganda’ baada ya kufuta ndoa yao iliyogharimu takribani milioni 471 kuiandaa Mwanasheria wa wanandoa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati serikali ikijitahidi kupata njia madhubuti ya kukabiliana na uvamizi wa nzige wa jangwani, Huko nchini Uganda wamegeuza baraka kwa wakaazi wa Wilaya ya Kitgum. Wakazi hao wanawakamata nzige...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, Niende kwenye mada hasa nikibase kwenye historia ya idd amin aliyekuwa rais wa uganda. Historia inamtafsiri iddi amin kama raisi katili kutokea katoka katika nchi ya uganda...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
President Yoweri Kaguta Museveni has said that Ugandans living in China should not be evacuated because of the outbreak of the deadly coronavirus that is ravaging the city of Wuhan in China’s...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Uganda ametoa wito kwa Mke wa Rais wa Uganda ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Janet Museveni kufika mbele ya chombo hicho cha kutunga sheria kufuatia mkanganyiko kuhusu kuanza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mamlaka ya nchini UGANDA aimekiri kuonekana nzige maelfu wakiwa KTK mji Mmmoja HABARI zaidi zinasemaa wananchii wahapoo wameamua kuwageuza kitoweoo na jamboo HILO limefanya kijiji hikoo kuvamiwa...
6 Reactions
46 Replies
9K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyo sema, Mdogo wake na Jose chamilion ambae anafahamika kwa jina la Pallaso alimanusura auawe huko SA aliko kuwa akifanya video yake ya wimbo uitwao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Muigizaji wa kike aliyekuwa mmoja wa wahusika katika filamu ya Queen of Katwe, iliyoangazia mtu mwerevu kutoka maeneo ya makazi duni ya Uganda, aliekuwa anacheza chess, ameaga dunia akiwa na umri...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Watoto wawili nchini Uganda wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula kitafunwa aina ya chapati kilichotengenezwa kwa sumu ya kuua wadudu badala ya mafuta. Watoto wote 13...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Afisa wa polisi wa kituo cha Bunamwaya, Sabagabo - Makindye amewapiga risasi askari mwenzake na mtu mmoja wa ulinzi shirikisha kabla hajajiua mwenyewe kwa kujipiga risasi Makamu wa msemaji wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JANA Nilimsikiliza Mheshimiwa Rais Wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Kwa Kiswahili Kizuri Sana Tena Kwa Kukichezea Kwa Madaha Miongoni Mwa Usemi Mpya Nilioupata Kwako Wakati Akiomboleza Kifo Cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati hatari ya kuzidi kusambaa kwa virusi vya Corona ikiongezeka nchini China, wafanyabiashara zaidi ya 200 wa Uganda wamefika katika ubalozi wa China jijini Kampala wakibembeleza kupewa VISA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasafiri zaidi ya 100 kutoka China watengwa baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Kampala kutokea nchini China. Mamlaka ya uwanja wa ndege huo nchini Uganda umefahamisha kuwa uamuzi huo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello sehemu au gulio la mitumba Uganda ipo maeneo gan na bei zikoje balo la viatu na nguo first grade
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mamba anaelezwa kuwa na uzito wa kilo 600 Miezi minne iliyopita, Demeteriya Nabire aliliwa na mamba alipokwenda mtoni karibu na makazi yake kuchota maji. Mnyama huyu alirudi tena baaae katika...
2 Reactions
8 Replies
46K Views
Polisi wilayani Bududa mashariki mwa Uganda wanamsaka mwanafunzi wa miaka 10 kwa tuhuma za kumchoma kisu mwenzake ambaye alidai kupora mpenzi wake wa miaka 11. Mtuhumiwa huyo, ni mwanafunzi wa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
KAMPALA: Taasisi ya Kuandaa Masomo na mfumo wa Elimu nchini Uganda imetangaza rasmi kubadilisha mfumo wa Elimu National Curriculum Development Centre (NCDC) nchini humo kwanzia Februari mosi...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…